Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

::Makala za Uchumi Jumatano Nov 07, 2007 •Kikwete alivyovutia wawekezaji Italia,kupigia debe mapinduzi ya kilimo Afrika Habari Zinazoshabihiana • Siku ya Chakula Duniani na...
1 Reactions
61 Replies
9K Views
Tuwaangalie hawa, John Chiligat, George Mkuchika, Amos Makala na Mohamed Dewji, wanaweza kuingia katika sekretarieti moja ya CCM
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Na padri privatus karugendo Baada ya kuona kwamba si wote wanaoimba yale yanayompendeza kama alivyotarajia, sasa mkubwa ameamua kutoa amri na maelezo ambayo kwayo yatawakatisha tamaa wanaomkaba...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo asubuhi Novemba 6 mwaka 2007 Viongozi wa Vijana wa CHADEMA Jimbo la Kawe Manispaa ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam tulipokea taarifa ya kuvunjwa kwa mara ya pili Tawi la CHADEMA la Ukombozi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Dubai ni moja ya sehemu inayoendelea kwa kasi kubwa. Cha kupendezesha ni kwamba jamaa wameamua kutumia mali ya asili waliyonayo, kama vile mafuta, kuendeleza nchi yao. Mainvesta kutoka sehemu zote...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna hoja imezuka leo ofisini kwangu juu ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzanaia bara kua inafaa apewe Makamba na siyo Msekwa. Ningependa kupata hoja za wadau wengine juu ya hili. Binafsi ninaona...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Bila ya shaka mmeanza kuona pembeni kuna sanduku la Kura. Swali la Msingi ni kuwa Kuendelea na habari binafsi za ngono za viongozi ambazo hazihusishi uvunjaji wa sheria au kuingilia utendaji wao...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Mkutano mkuu wa CCM unaanza wiki moja toka sasa na yawezekana katika historia ya CCM huo ndio mkutano mkubwa zaidi na wenye kupima mwelekeo wa CCM kwa miaka mingi ijayo. Mkutano Mkuu wa CCM kwa...
0 Reactions
75 Replies
10K Views
Mishahara sekta binafsi mwakani na Irene Mark, Dodoma SERIKALI imeahirisha kuanza kutumika kwa viwango vipya vya mishahara katika sekta binafsi. Tangazo la kuahirishwa kuanza kutolewa kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Haiwezekani kupambana na mafisadi kwa maneno tu wakati huo huo bado mmewakumbatia mafisadi waliojivika ngozi ya uongozi Posted Date::10/30/2007 Serikali yapigana kujisafisha tuhuma za ufisadi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tanzanian MP Charged With Graft The Citizen (Dar es Salaam) NEWS 2 November 2007 Posted to the web 1 November 2007 Bukoba Another ruling party member of Parliament was on Thursday...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KATIKA historia ya mahusiano ya watawala na watawaliwa na hasa pale ambako yanawahusisha watu wenye historia moja na ambao wanatoka damu moja na hatma yao ni moja au watu ambao historia ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali yaombwa kuingilia mgogoro Bulyanhulu na Hellen Ngoromera Tanzania Daima SIKU kadhaa baada ya Kampuni ya Barrick inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo wilayani Kahama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
WanaJF, Jana kwa muda hatuwepo online sijui ni nini kilitokea nadhani ADMIN anaweza kutujulisha, i hope hatukuwa hacked. Lakini vilevile jana nilipokuwa napitia pages za tovuti ya mwananchi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
mfungwa haruna gombellar akionesha nondozzz zake za sheria shahada ya kwanza baada ya kutunukiwa leo. makamu mkuuu wa chuo kikuu huria profesa tory mbwete amesema kwamba tukio hili la kihistoria...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Sasa naanza kuamini wakati wowote wananchi wanaweza kuanza kuwashughulikia mafisad. Hebu angalia vijana hawa shupavu wealivyowashughulikia mafisad wao. Ama kweli Tanzania bila mafisad...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ilikuwa ni mbwembwe na vifijo baada ya kupata kiti kimoja cha udiwani kati ya 16 vinavyogombaniwa. mkuu zitto alitinga na heading upinzani1 ccm 0 na kutuahidi kuwa hii yote ni dalili za nyakati...
0 Reactions
59 Replies
9K Views
  • Closed
Malecela aitikisa CCM mara nyingine na Martin Malera Tanzania Daima SASA ni dhahiri kuwa John Samuel Malecela ndiye mwanasiasa anayeshikilia kwa nafasi kubwa hatima ya mshikamano na uimara...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Posted Date::10/31/2007 Uchaguzi CCM:Nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM moto *Ngeze, Kimiti wapewa nafasi kubwa *Malecela, Lowassa, Sumaye nao wamo * Kiti cha Katibu Mkuu pia kitendawili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…