Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumeshuhudia vituko, vioja, mbwembwe, rafu, rushwa, kamata kamata na mengineyo katika siku za kampeni kuelekea kura za maoni ya chama twawala! Sasa nimeamua kuanzisha thread mahususi kwa ajili...
0 Reactions
496 Replies
72K Views
Waziri wa zamani Joseph Mungai amepandishwa kizimbani kwa kosa la 'kuchakachua' kwenye kura za maoni za CCM. Source: TBC1 Habari
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Wakuu tarehe 14 kuna kikao muhimu cha Chama. Dalili zinaonesha kuwa kuna-fouls zinapangwa kuchezwa ili kuwanufaisha baadhi ya watu walioshindwa kwenye kura za maoni, na kuwakwamisha wale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajumbe wote wa kamati kuu ya CCM wamehudhuria kikao cha CC kinachoendelea Dodoma isipokuwa mwanasiasa mkongwe, John Samuel Malecela pamoja na waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Haikuweza...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
UKIONA kwa mwenzio kunaungua ujue kwako kunateketea. Hiyo ni kauli iliyodhihiri jana baada ya uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu wa Chadema, kufutwa baada ya kutokea vurugu zilizohusisha utoaji...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
..napenda kujua mchango wa mapato ya SMZ kati ya Unguja na Pemba ukoje. ..pia napenda kujua wanagawana vipi misaada wanayopata. ..najua kuna wanaolalamika kwamba Tgk inawaminyia misaada, lakini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Gazeti la Annuur la Ijumaa Agosti 6-12, ISSN 0856-3861 Na 902 limeandika katika ukurasa wa mbele kabisa kuwa Bunge lijalo kuwa la Usharika na Mchungaji atakuwa Spika Samuel Sitta. Wanajenga...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Mimi si mpenzi sana wa siasa wala si mwanachama wa chama chochote na nilipiga kura nilipokuwa na miaka 18 miaka 20 iliyopita na nilipiga kwa vile nilitaka kujaribisha ila sijaona cha mabadiliko...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Napendekeza Watanzania wote wenye nia ya kuufahamisha umma wa Wa Tanzania kwa nini CCM hawastaili kupewa miaka mingine ya kuongoza nchi hii kuanda cd zikionesha picha kutoka sehemu mbalimbali za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau mnaofuatilia kikao cha NEC/CC cha CCM huko Dodoma hebu tupeni yanayoendelea huko. Wazee wetu waliokosa ubunge wanafikiriwa? Presha zikoje huko???
0 Reactions
20 Replies
4K Views
CHADEMA’s leadership is contemplating whether or not to field a candidate to contest a Parliamentary Seat in Mlele constituency , which Prime Minister Mizengo Pinda passed unopposed on CCM ticket...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu 12th August 2010 Barua mbili zilizoandikwa na Waziri Mkuu Pinda Mbunge wa Igunga...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Umaana wa kuwa na wagombea huru/binafsi ndio unaonekana sasa. Wengine tulipopiga kelele watu wakatuona kama "hamnazo". Sasa waliokaa kimya wanatamani kubebwa wakati kama kungekuwa na wagombea...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zilizonifikia punde zimesema kuwa rafiki mkubwa wa MH. waziri mkuu mstahafu EL, Mheshimiwa Pelo amepatikana na kashfa ya kuleta mganga wa kienyeji toka mkoa wa Manyara na amekamatwa usiku...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF nimehaha kutafuta Ilani za Uchaguzi za vyama vya siasa bila mafanikio nilienda CCM nikaambiwa zinauzwa lakini mara bado mara anayeuza hayupo..nikatia timu CHADEMA nikaambiwa hazijatoka mtu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nionavyo ni kuwa wanafunzi wengi wamejiandikisha kupiga kura katika vituo vilivyo karibu na vyuoni kwao. Kitendo cha kufungua vyuo vya elimu ya juu baada ya uchaguzi hakutawanyima wanafunzi haki...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilishatoa kwenye jf nia yangu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema mnamo may 2010, sasa baada ya kura za maoni kupigwa pale jimbo la lushoto mjini na shekifu kuibuka kidedea sasa naona njia...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hebu wana JF anayejua japo anijuze! Tatizo hili la kugawa mikoa na wilaya ni kwa manufaa ya nani au ni ongezeko la watu ktk hayo maeneo kama ndivyo mbona DAR hizo mikoa hazina wakuu wa kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John kilichoko Dodoma, Fadhili Ngajilo (32) amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
tangu Jumatano wiki iliopita nilikua Jijini Dar es salaam, na nikapata bahati ya kutembelea pale Ofisi za Habari Maelezo mtaa wa Samora, kilichonishangaza ni ule Ubao wa matangazo kujaa picha za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom