Baaada ya marekebisho ya katiba ya Zanzibar watu wengi wa upande wa Zanzibar na Tanzania bara wamekuwa na hoja ya kutaka kuwepo serikali tatu ili kuweza kuweka usawa kati ya Tanzania Bara na...
Kutokana na fashion iliyozuka hivi karibuni, nami nawasiliana na wapambe wangu ili angalau na mimi nichukue form ya kugombea uraisi wa nchi hii, kwa nia ya kuweka historia na kupata form hiyo, ili...
Ndugu wana JF,
Baada ya maongezi magumu ya kumuomba Mh. Dr.Slaa kukaa hapa na kujibu maswali ya aina yeyote ile yanayohusu Chadema na Upinzani, hatimaye amekubali rasmi kwamba atajibu kila swali...
Mwenyekiti wa CUF wilaya ya Mbeya Mjini, Yasin Mrotwa amesema hivi sasa wanaendelea na mazungumzo na mmoja wa wanachama wa CCM, Prince Mwaihojo kumuomba ili asimame kugombea ubunge wa Mbeya...
Nini tofauti ya hawa watu wawili katika medani sa siasa za CCM?
Kwanini jina la Pesambili lirudi ili hali yuko mahakami tayari kwa tuhuma vile vile?
Hivi tunaongozwa na CCM ya Vichaaaaa...
Jimbo la Karagwe mkoani Kagera linaenda kiulaini mikononi mwa CHADEMA kutokana na NEC ya CCM kurudisha jina la BLANDES GOZIBERT. Viongozi wa CCM hapa Karagwe wanasema BLANDES hawezi kushinda na...
MKOA WA MJINI MAGHARIBI
i.Jimbo la Mtoni: Ussi Ame PANDU
ii.Jimbo la Mfenesini: Nasib Suleiman OMAR
iii.Kiembesamaki: Waride Bakari JABU
iv.Jimbo la Dole:Sylvester Massele MABUMBA
v.Jimbo la...
Huu ni uchunguzi wa muda mrefu ambao hata wewe ndugu msomaji hapa kama utajichungua basi mwisho wake utagundua kuwa wewe ni CUF damdam ,yaani hakuna ubishi juu ya jambo hili kamfano kadogo...
Kitaifa: CCM wameongeza mshahara wa wafanyakazi kinyemela
Kimkoa: Kyela wapata soko la zao la kokoa,kawambwa atembela miradi ya ujenzi Mbeya.
Just last week Dr Kawambwa alikuwa uko akikagua...
OUTGOING Tarime MP Charles Mwera (right) on Sunday defected to CUF from Chadema and received a card of his new party from CUF Deputy Secretary General Juma Duni Haji (left). (Photo by Yusuf Badi)
Kinyang'anyilo cha uchaguzi wa kura za maoni mwaka huu katika jimbo la Nzega kimeanza kwa vibweka baada ya mbunge wa jimbo anayemalizia muda wake Lucas L selelii kuzomewa mwanzo hadi mwisho...
imepata kusemwa siku chache zilizopita kuhusu sintofahamu ya mpendazoe kushindwa kura za maoni katika jimbo la segerea na kuibukia kinondoni kabla ya tetesi kuenea kwamba huko segerea amekata...
NASHANGAZWA NA MAAMUZI YA CCM KUSEMA HUSSEIN BASHE KUWA SI RAIA WA TZ,NA KUKUMBUSHIA HISTORIA YA ULIMWENGU PIA,SASA NI WAZI KWA YEYOTE AMBAYE ATKUWA KINYUME NA MATAKWA YA MABWANA WAKUBWA LAZIMA...
Akihojiwa na Clouds FM leo, January aliulizwa kama alimshirikisha baba yake katika azma yake ya kwenda kuomba uteuzi...
Wakati anajibu aliweka sentensi kuwa 'nilimwambia kuwa ...baba naenda...
Can Fragile Opposition Defeat CCM?
By Guardian on Sunday team, Dar Es Salaam, Tanzania
15th August 2010
Strategists within the ruling party are weighing their options after Dr Wilbrod Slaa's...
Zanzibar Wants Union Constitution Overhauled
By The Guardian reporter, 13th August 2010
Justice minister Chikawe not ready to comment on such a sensitive and delicate issue on phone
Zanzibar...
Nimepata taarifa toka kwa mdau mmoja toka dodoma ambaye alifanikiwa kujipenyeza
kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya chama cha sisiem akawasikia wakisema wataicheza
tu kichama kuweka mambo level kwa...
Habari kutoka Dodoma zinadai kuwa aliyekuwa mbunge wa Mtera Mh. Malecela amepigwa chini wakati akiwa anategemea kurudishwa kwenye ugombea wa jimbo hilo. Habari vilevile zinadai kuwa Mzee Ruksa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.