Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,180
- 664
Ilikuwa ni mbwembwe na vifijo baada ya kupata kiti kimoja cha udiwani kati ya 16 vinavyogombaniwa.
mkuu zitto alitinga na heading upinzani1 ccm 0 na kutuahidi kuwa hii yote ni dalili za nyakati, inaonyesha ccm hawatakiwi na watakiona.
kumbe ushindi wenyewe ni wa goli visa kule kwetu huliita.
sasa wako kimya hamna update yeyote sio kama hawana info cha kilichotokea ila wamepata vitetemeshi vya mikono na midomohawana la kusema.
wakowalioanza kutoa visababu ati wananchi uelewa wao mdogo, kisa wamepiga chini upinzani. hawa hawa wakiwazomea CCM uelewa unakuwa juu, hawa ndio watuwa double standard.
hii inaonyesha yale maneno yangu ya kila siku kuwa upinzani ni machelema, bado hawajaiva, wanaanza kuwatukana wakunga na uzazi ungalipo.
Ccm chama cha kimapinduzi, imara daima kina chapa kazi