• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Idimi
Reaction score
4,213

Profile posts Latest activity Postings About

 • Idimi
  Habari za maisha ndugu zangu. Tupeane habari mpya kama zipo
  M
  Mkuu naomba kitabu hicho murua
  my e-mail: masikowm@gmai.com
  thanx in advance
  MwanaHaki
  Idimi,

  Thanks for your offer. I gladly accept.

  My email is aziz.mongi@strategos.co.tz

  Asante sana.
  Idimi
  Ndugu wana JF, sorry kwa kua kimya, nisharudi toka ktk maboksi hapa Uswazi, tuendelee kuwa mtandaoni
  Idimi
  Nipo, ndugu Lizy, majukumu ndio yanabana sana kiasi cha kupotea katika mtandao. Ila angalau huwa naangalia mtandao kila baada ya siku1 mpaka 2. Tuendelee kukumbukana.
  L
  Dah, kumbe upo dunia hii?

  Tueleze siri ya kificho chako.

  Lizy
  Idimi
  Nashukuru sana Wakuu wangu kwa kunitakia Noeli njema na mwaka mpya mwema. Nami pia niwatakie sherehe njema na Mungu awalinde ili tuendeleze libeneke hapa JF.
  Ab-Titchaz
  Have fun mkuu wakati huu wa krisimasi....soka laja ijapokua!...;)
  Steve Dii
  Mkuu, nakutakia amani na baraka katika msimu huu wa sikukuu na mbeleni.

  Regards
  M
  Thanks program nimepata,sorry im not in tanzania but if u wanna keep in touch we can communicate tu.
  Im waiting for ur mail man.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top