Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Yah, huenda kapteni huyu akaunyaka ukatibu, ingawa mhe, Makamba kaomba huruma kuwa sisiemu isimmwage, kwani atachekwa na wapinzani akitupwa.Chiligati anaweza kuibuka Katibu Mkuu mpya....
Makamba atarudishwa, ili kutuliza speculation halafu baada ya muda kidogo (a year or so) ataomba kujiuzulu kwa sababu zozote zile, and then, kabla ya 2010 CCM itakuwa na Katibu Mkuu mpya. That is my political foreseeing.
nasikia jana Muungwana alipita humu JF kucheki wanaongea nini,hii nimepewa na kada mmoja wa sisiemu..Muungwana asubuhi alikuwa akiwaauliza hivi hii Jf ni ya nani?
Tuwaangalie hawa, John Chiligat, George Mkuchika, Amos Makala na Mohamed Dewji, wanaweza kuingia katika sekretarieti moya ya CCM
Ukichanganya na Handsome safu ya wanajeshi inatimia. Chama cha kijeshi eeehh, no wonder kinaitwa chama cha mapinduzi ya kumpindua mtanzania kwenda kwenye umasikini.
Asha
Udaku at its best!
__________________
Ndugu yangu HALISI,Sijui ndugu yetu FD anazungumzia udaku upi... Kwanza hapa kabla hata ya kutangazwa rasmi, hii thread iliwataja Chiligati, Mkuchika, Makala na Mhd Dewji kama watu wa kuangalia. Maana ya hiyo ilitokana na taarifa za wakati huo. (Mapema Jumanne mchana) ambako watu hao walipewa maelekezo maalumu, na wao kuonekana kuchanganyikiwa kidogo, kabla ya Chiligati, Mkuchika na Makala kuitwa tena mahali. HAKUNA CHA UDAKU MPAKA HAPO.
Ama kama ni alichosema dada Asha, kwamba safu ya wanajeshi imetimia, hakuna cha udaku kwani, Luteni Kanali, Jakaya Kikwete, Luteni Yussuf Makamba, Kapteni George Mkuchika, Kapteni John Chiligati. Hao wote ni wanajeshi. Ukimuongeza na Bernad Membe (shushushu) anabakia Amos Makala ambaye hatujui alikotokea ama kupitia, ila mpaka hapo sekretarieti yote na Mwenyekiti wao ni wanajeshi, ukimuondoa Amos Makala na wale wa Zanzibar, ambao nao pengine ni kwa kutowafahamu walikotoka. HAKUNA UDAKU mpaka hapo.