Anayependa maendeleo atatambua mafanikio ya serikali-Mama Salma
NA JACQUELINE LIANA, BAGAMOYO
MWENYEKITI wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, amesema mtu anayependa...
Hivi ni kweli kuna watu bado wanauza kura zao hapa Tanzania??????
Hivi ni kweli kuna wanasiasa viongozi mabingwa wa kufoji risiti????
Na ni kweli kwamba siasa zetu zimetawaliwa na blah blah kuliko...
Gazeti la Nipashe leo limemnukuu Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema na mgombea ubunge wa jimbo la Hai akiwaahutubia wananchi katika jimbo hilo akisema:
"Ni aibu mikutano ya kampeni za CCM...
Kaimu Mkurugenzi wa mji wa Arusha, Estomi Changah jana alianza kazi rasmi kwa kasi ya aina yake, baada ya kukubali malalamiko ya Chama cha Mapinduzi (CCM) juu ya mgombea wa Chadema Jimbo la...
Baada ya Mwenyekiti wa Chadema kusema kwamba utafiti wa synnovate unaonyesha kwamba Dr. Slaa anaongoza kwa umaarufu mbele ya JK, na baadae Synnovate kukanusha taarifa hizo, kuna dalili kwamba...
Jakaya Kikwete wakati akifanya kampeni mkoa wa Kilimanjaro aliahidi kuboresha hospitali ya Mawenzi kama inavyoelezea kwenye nyekundu hapo chini
JK wants to know candidate financing Mawenzi...
Katika gazeti la Mtanzania 21/09/2010 imeandikwa kwamba Mama Salma amesikitishwa na kuangushwa kwa Mwantumu Mahiza, Naibu Waziri wa elimu. Kwenye Majira 21/09/2010 Mama Salma anasema kuwa WAMA...
Naendelea kujifunza kuhusu JK!
Kumbe madaraka ni matamu wakuu!
Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya...
Napongeza jitihada za Chadema, kwenye kampeni zao za uchanguzi, Watanzania tumekuwa tukifuatilia maoni na mapendekezo ya Watanzania wanaopenda mabadiliko ya uongozi wa taifa letu.
Hali kwa...
This will happen on sunday 31st October, 2010 whereby CCM will be burried at the NEC Cemetery.
You are all welcome to say a word of goodbye to our neighbour!!
African countries that kill their generals, become rich
Wait for it. In a few hours the United Nations summit on the Millennium Development Goals starts in New York.
The MDGs are targets world...
WanaJF, nimegundua kuwa ni CHADEMA na vyama vingine vya upinzani ndiyo vinasema kuwa vikipata madaraka vitapiga vita ufisadi. Je ni kwa sababu CCM imejaa mafisadi wengi?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
*
Tanzania imeshinda tuzo kwa kutekeleza vizuri malengo ya Elimu katika Malengo ya Maendeleo ya Milenia ya Umoja wa Mataifa yanayotakiwa yakamilishwe mwaka...
The secret of victory votes to Ikulu
Revealed: The secret of victory votes to Ikulu
By Guardian on sunday team
19th September 2010
However, according to our analysis, Dodoma, Tanga and...
Ulimi wamponza Yusuf Makamba
wakazi Kariakoo wadai amewadhalilisha
Washinikiza aombe radhi, ajiuzulu
Kauli iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw Yusuf makamba...
Mchumba wa Dk. Slaa, Josephine, akisalimia wananchi wa Karatu mkutanoni, juzi Alhamisi.
Dk. Slaa hatumii shangingi. Hiki ndicho kipanya anachotumia katika ziara zake za kampeni. Katika picha...
jamani tumsaidie kikwete kama binadamu mwenzetu kwa nia nzuri tu juu ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi na uhuni wanaomfanyia wenzake/timu yake ya kukusanya watu kwa malori,kuwapa elfu hamsini...