Duh
kweli mtoto wa mwizi ni mwizi kumradhi ccm,ilakwa stetimenti ya makamu wenu mbele ya taarifa ya habari kwamba mnashangaa nini kuona ccm kuna watoa rushwa ati rushwa ipo kila sehemu
nakuja...
NAIBU mkuu wa kitengo cha propaganda wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Richard Tambwe amesema Rais Jakaya Kikwete hajawahi hata mara moja kukataa kura za kundi lolote la jamii, wakiwemo wafanyakazi...
Habari kutoka Buasanda zinasema mbunge aliyemaliza mda wake LOLENSIA(CCM) tayari imedhibitika hawezi kushinda kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.....na badala yake wananchi wa Busanda wamejiandaa...
By BNO News
August 10, 2010
A U.S. interagency delegation held consultations in Dar es Salaam with Tanzanian officials in order to discuss a range of nuclear-related topics, the State Department...
Mmoja ya wagombea ubunge kwenye jimbo la sikonge ni balozi David Kapya ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye shirika la UNHCR na sasa yupo Office ya rais mstaafu Benjamin W. Mkapa.
Kesho ndio...
Mhariri wa HabariLeo amekuja na mpya baada ya kuacha kazi yake ya kuutumikia umma wa Watanzania (wanaolipa mshahara wake) na kujivika ukada wa CCM kumtetea JK. Mimi niliisikiliza kwa ufasaha...
Katika pita pita zangu mitandaoni nilikutana na article moja ambayo ilivuta macho yangu, baada ya kuisoma na kutafakali niligundua udhaifu mwingi wa hoja zilizotolewa humo, japokuwa mwandishi...
Nominate credible aspirants for special seats. Steer away from the kind of patronage and influences which have exerted unecessary pressure to the extent of daring to consider UNELECTABLE...
The family of a British doctor killed along with eight foreign aid workers in Afghanistan has rejected claims she was preaching Christianity to Muslims.
Karen Woo was among 10 people shot...
Wazeee, ueshimiwa kazi kweli kweli, hadi sasa awaaamini kama kura za maoni zimewamwaga japo waligawa rushwa za kutosha
source:HabariLeo | Wabunge waliobwagwa wapo Dodoma
Na Maggid Mjengwa,
HISTORIA ni mwalimu mzuri. Nimekumbushia hilo mara kwa mara. Kabla ya kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Winston Churchill alipata kuwa waziri wa masuala ya majini ( Marine...
Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete Miraji Kikwete(kushoto) akiwa na Mdau akionyesha kwa Mbwembwe Flana Maalum za Kikwete 2010 - PHOTO: Haki Ngowi
Naona kampeni zimeanza rasmi, na familia inaonekana...
Na Maggid Mjengwa (Makala hii ilichapwa Raia Mwema majuma mawili yaliyopita)
HISTORIA ni mwalimu mzuri. Ili tuweze kutafsiri na kuyaelewa yanayotokea sasa na kuyaelewa yatakayotokea kesho, tuna...
Inapokuja maswala ya kitaifa na si jimbo wala chama,baada ya kura za maoni ndani ya CCM najisikia uchungu sana nikikumbuka yale yaliyowapata SELELII,LEMBELI, KIMARO nk(wenye kupigania haki kama...
RAIA MWEMA UGHAIBUNI
Maslahi ya umma ni zaidi ya vyote
Evarist Chahali
Agosti 11, 2010
MARA ya mwisho makala zangu kuonekana katika jarida hili ilikuwa katikati ya Juni mwaka 2008...
Propaganda:
Katika mazingira ya kisasa, propaganda ni njia inayotumiwa na vyama kujipatia wafuasi kwa kuwaambia lolote linaweza kuwavuta hata kama ni uwongo.
Je Tanzania tunahitaji idara za...
Ndugu wana JF, Jana nilipata habari kupitia TV zetu kuwa Bw. Tambo hizza akikanusha kilichochapishwa na MwanaHalisi, Lakini pia Mwanahabari Mhariri wa gazeti la MwanaHalisi Said Kubenea akisema...
Kwa ufupi:
Mzee Malecela amehakikishiwa nafasi na Lusinde katupwa nje vibaya sana na kudaiwa kuwa alidanganya suala la Elimu yake, Lusinde kakasirika sana kwa hali hii na huenda akachukua hatua...
Wadau,
Leo gazeti la Mwanahalisi limeripoti ufisadi mkubwa wa mabilioni ya mapesa unaofanyika Ikulu ukimhusisha Salva Rweyemamu. Ni kuhusu mapesa ya serikali kutumika katika kampeni za JK katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.