jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,483
- 21,485
Ndugu zangu wana JF ni muda si mrefu nimetoka kuzungumza na ubalozi wetu wa hapa Marekani!
Sikufurahishwa sana na maongezi yetu!
Hata hivyo kabla ya kusema lolote...Naomba tujadili ni nini hasa majukumu ya balozi zetu za nje?
Kwasababu the way they implied ni kwamba they're not neccessarily communicating with the Government!
Tena wanadai eti kwasababu hawajui kila mtanzania aliyeko hapa marekani..Then hawajui wapi alipo Balali!
Na pia eti hawana taarifa zozote za kuwa kuna maafisa saba wamekuja huku USA!
Na pia kuwa taarifa za serikali wanazozitoa zinazoendelea huku marekani wao hawana habari nazo?!
Kwa hiyo habari ya hawa watu kuja ku comb USA ni PR? Je ni habari za kutupumbaza ama zenye kulenga kutuelewesha ukweli?
Je ubalozi unamwakilisha nani hapa marekani kama si serikali ya Tanzania na watu wake?
Majukumu ya balozi zetu ni yapi?
NB:Then wanataka tuandike barua rasmi kwa Balozi na yeye atatoa majibu kwasababu kwa madai yao watu wanapiga simu huko ubalozi kila siku kummulizia Balali!