Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi kwa nini tusiondoe kodi on Solar panels na Wind turbines au tuseme chochote kinachosadia kwenye masuala ya alternative energy? Tumeweza kufanya hivyo on ma trekta na sioni sababu kwa nini...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
MPENDWA msomaji, unafikiri Rais Jakaya Kikwete ana watu wanaomshauri juu ya mambo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa? Unafikiri wapo watu wanaomshauri kuhusu masuala ya kisiasa na kiuchumi...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
RAIS Jakaya Kikwete amesema ahadi zote zilizotolewa na Chama cha Mapinduzi (CCM) zitatimizwa kama ilivyodhamiriwa. Akizungumza na wananchi wa wilaya ya Manyoni wakati wa sherehe za kuweka jiwe la...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimesoma mada nyingi hapa, mtu akiandika mawazo yake kuhusu kiongozi anashushuliwa na kuanza kuambiwa kuwa analipwa na mafisadi. Imefika wakati watanzania tuwe tunakubali kuambiwa ukweli hasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Malecela, Kilango watema cheche Imeandikwa na Maulid Ahmed; Tarehe: 6th August 2009 @ 16:53 Habari Leo Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amesema, kuna udini na ukabila katika Bunge la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna habari zime enea sana hapa Magu kwamba Bw.Madete naye mhandisi amenuia kugombea Ubunge Magu .Madete mwenyewe yuko kimya baada ya kuona uvumi umekuwa mkubwa nimeona nije hapa kamvini kuuliza...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kumekuwa na tabia ya viongozi wetu kutoa speech za kiswahili panapokuwa na mgeni toka nchi au taasisi za kimataifa kama IMF, UN, World Bank bila ya hata kuwepo kwa vifaa vya kutafsiri au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna taarifa za kuzuka switafahamu katika vituo vya uandikishaji wapiga kura katika DKWK, katika jimbo la uchaguzi la Ole, Wilaya Wete Kisiwani Pemba. Hali hiyo imepelekea risasi kadhaa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
na Amos Nyaigoti WAFANYAKAZI tisa waliokuwa waajiriwa wa Kampuni ya simu za mikononi ya Zain, wameishitaki menejimenti ya kampuni hiyo katika Mahakama ya Kazi jijini Dar es Salaam, wakidai fidia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii habari nimemegewa na mwana “Kamati Ushindi” ya Mwangunga. Naishia hapa kwanza ili wabishi waje.
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Haiwezekani tukawa hivi, wote tukawa hiv, yaan nchi nzima tukawa hivi! kwa nini tuko hivi lakini? nchi nzima tumekuwa tukilalamika,tunaona maovu yanafanywa na viongozi wa juu, kila kitu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa ahojiwa na TAKUKURU Na Jabir Idrissa, MwanaHALISI, Jumatano, Agosti 5-11, 2009. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Joseph Leon Simbakalia amekiri kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ministry in dubious exam deal THE Ministry of Education and Vocational Training last year awarded a private company a 72.6m/- deal to print primary school leaving certificates contrary to a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa nawaza tu:(yote ni original) 1. Mwanasiasa akianguka wakati wa uchaguzi ni vizuri kumuinua? 2: Je fisadi ambaye ameamua kuokoka anaitwa Fisadi Mlokole? 3: Kwanini unafikiri inaitwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa amesema hakuna Mtanzania anayemchukia Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, ila malalamiko yao dhidi yake ni kutaka kujua ukweli...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nawaomba watanzania wenzangu tuondokane na dhana kwamba rais ni kama Mungu kwa hiyo hasogelewi wala haguswi kwa maana ya kukemewa. Woga huu ndiyo uliotufikisha hapa tulipo na mambo kuharibika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KIONGOZI wa Upinzani bungeni Hamad Rashid Mohamed, amemtaka Rais Jakaya Kikwete, kujiuzulu kutokana na kile alichosema ni serikali yake kushindwa kufanya kazi hivyo kukosa imani kwa wabunge wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
"Abiria watarajiwa wakiangalia ratiba ya treni ya reli ya kati leo ambapo baada ya treni la bara kuingia, la kutoka dar kwenda mwisho wa reli halikuondoka na badala yake wameahidiwa litaondoka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
*ALIKUWA AKIONGOZA MSAKO WA MAJAMBAZI Daniel Mjema, Moshi na Rehema Matowo, Hai MKUU wa Polisi Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro (OCD), Mrakibu Petro Mtae (43), amefariki dunia baada ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Watu wasiofahamika huko Zanzibar, wameanza kuzuia wanachama wa CUF kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, Watu hao wanapita kwenye maeneo ambayo ni ngome za CUF na kutangaza kuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom