Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Mwandishi Wetu Mwananchi 10/7/2009 MBUNGE wa Maswa, John Shibuda (CCM), ameendelea kuwa mwiba kwa Baraza la Mawaziri, baada ya kuhoji mantiki ya rasimu ya itifaki ya matumizi ya Mto Zambezi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hili ni suala nimekuwa najiuliza sana huko Tanzania. Tunaelewa kuwa Mwaka huu mwezi Oct kuna chaguzi za Serikali za mitaa yaani kuchagua wenyeviti wa Serikali za mitaa na wajumbe wao. naona kuwa...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Leo saa 4 za usiku kwenye ABC. USIKOSE!
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Makamba ahimiza mapambano dhidi ya ufisadi na Jacob Ruvilo, Kigoma KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba, amesema ufisadi unapaswa kupigwa vita na kila Mtanzania mzalendo...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nilikuwa nasikiliza vyombo vya habari, nikamsikia msajili wa vyama vya siasa mzee Tendwa akiwaambia askari polisi kuwa wawachukulie hatua za kisheria viongozi wa vyama vya siasa watakaosababisha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
THERE is a serious rift within the Chama Cha Mapinduzi (CCM) establishment despite assertions to the contrary being made by ruling party elites, Mwalimu Nyerere Foundation Executive Director...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
2009-10-07 07:14:00 Court suspends Jeetu theft case By Rosina John THE CITIZEN The Kisutu Resident Magistrate Court has agreed to stop hearing the Sh9.7 billion theft case against Dar es...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
2009-10-07 07:31:00 PUBLIC LEADERSHIP: Push for change THE CITIZEN Former Cabinet minister Ibrahim KadumaFormer Cabinet minister says the Speaker shouldn't be an MP as calls are made at a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JOTO la kuwania nafasi ya ubunge ndani la Jimbo la Morogoro Mjini limezidi kupanda, baada ya kuwapo habari za kuaminika kuwa zaidi ya watu wanne wamejitokeza kutaka kuchukua fomu katika uchaguzi...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Deep divisions exist in CCM, says Butiku THERE is a serious rift within the Chama Cha Mapinduzi (CCM) establishment despite assertions to the contrary being made by ruling party elites...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
I found this worth mulling over http://www.economist.com/displaystory.cfm?story_id=14302837
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dk. Kessy (udsm)amesema mfumo unaosababisha wingi wa vyeo katika halmashauri za wilaya, unaongeza gharama na kusababisha matatizo kati ya viongozi na watendaji. Alitoa mfano wa nafasi hizo kuwa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Yawezekana tumeshasahau au kama tunakumbuka basi tunakumbuka walichokifanya lakini hatukumbuki ni nani walifanya kitu hicho. Wengi wetu letu tumedandia garimoshi la vita dhidi ya ufisadi na...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Mchezo wa siasa waanza. Baada ya Zombe kutamba jana nyumbani kwake kuwa serikali itapoteza muda na fedha kwa kumkatia rufaa, kwani atashinda, leo serikali imeibuka na kukata rufaa. Leo jioni...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Raisi wa Jamhuri ya Watu wa Tanzania atawasili Houston, Texas USA kwa ziara ya siku mbili kuhudhuria ufunguzi wa DICOTA iliyoandaliwa na baadhi ya watanzania waishio marekani wakishirkiana na...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
It has come to my attention that history is rewritting itself at a crucial time when the world is busy with the economic melt-down that it has failed to take cognisance of a great...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Saed Kubenea MwanaHALISI MVUTANO wa aina yake unatarajiwa kuibuka wiki ijayo kati ya bunge na serikali juu ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond, imefahamika. Baadhi ya wabunge wamejiapiza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna taarifa kwamba mmoja wa wapiganaji wa vita dhidi ya ufisadi ndani ya CCM, kijana Nape amezidi kuweka mizizi jimbo la ubungo kuhakikisha anashinda kupitia ccm, huku wakati huohuo, kijana...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Maaskofu zaidi ya 200 toka barani Afrika wanakutana jijini Rome, Italia kujadili namna ya kuondoa ufisadi, mapinduzi na namna ya kukomesha unyonyaji mataifa madogo ya kiafrika dhidi ya mataifa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
05 Oct 2009 The United Republic of Tanzania has extended US$200 000 in budgetary support package to be deployed in aiding the Short Term Emergency Recovery Programme, STERP. The US$200 000...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom