Makamba Yuko Mahutihuti India

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
KATIKA GAZETI LA LEO MWANAHALISI KUNA HABARI ZA KUWA MAKAMBA AMELAZWA HOSPITALI YA APOLLO HUKO NEW DELH,

mwenye data amwage hapa isije ikawa wameshamkolimba hawa, manake hawaaminiki wanahangaika sana hawa
 
Tungewekeza katika hospitali zetu wala tusingekuwa na haja ya kwenda India kila mara, wangapi wanaweza kumudu kwenda India.

Ndiyo Ujamaa na Kujitegemea?

Aibu.
 
lol.. aliwahi mwambia binti mmoja eti atamlea lakini yeye na ndom m2 na adui eti ana allergy nazo...sasa sijui...
 
Hawa watu wana nini? pengine hayupo mahututi ila kenda check-up ya mafuwa tuu. Si unajuwa tena hao ndio wenye nchi? hizo pesa wanazitowa wapi? wakati wengine wanakufa kwa magonjwa madogo tu hapa kwetu, wenzetu wanaokomba vijisenti vyetu vya kodi wakiumwa kidogo India, South Africa, Europe. Hata haya hawaoni wala hawajuwi vibaya. Ni juzi juzi tuu tulisikia Mkuu Shein yuko huko anakaguwa namna apollo hospital watavyowekeza hapa, sasa jamaa ndio yuko huko, atatibiwa bure? kama hatolipa fedha basi atalipa fadhila. Uzi ule ule ufisadi kwenda mbele.
 
eeee bwana huyu jamaaa wakati anaongelea kuhusu muafaka na CUF kwa waandishi wa habari, na mzee kingungu pembeni, mdomo hasa wa juu ulikuwa umevimba ile mbaya.....
CCM bana if you know much ni hatari sana... jamaa inaelekea anainfo nyingi sana za mafiosoz wa chama---- Mafikirio yangu tuu lakini
 
Sasa nani atakuwa shahidi kuwa CCM ilipokea pesa za EPA?
Ama mweka hazina anatosha?
Tuambiane wakuu!
 
no cuf hawana kisasi na MAKAMBA,cuf wao hasira zao ni WAHAFIDHINA wa SMZ tu.

kumbe eeh sasa yale magazeti yalioandika hawamtaki makamba kwenye meza ya mazungumzo walikuwa wanazua?

wapemba wale wasije kuwa weshampa kibwengo maana nnasikia Dr salmin ndio haoni
 
huko india kuna wanaoenda hata wakiwa na kidole kilichovimba ua kama wanaenda kungoa jino, realy mwaka 2005 nilikutana na mmoja anatatizo la goti nikastaajabu.
 
Kama amelazwa yatakuwani malazi ya kawaida maana huyo mzee alikuwa na sukari muda mrefu toka akiwa RC
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom