Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Only time will tell.(lakuvunda halina Ubani)
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninapenda kuongea na mashabiki wa CCM. Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana hasa ni nini CCM INACHOTAFUTA? Nimefahamu na kugundua kuwa CCM inachotafuta ni ulaji tu na sio kweli kuwaletea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Niko Bongo kwa muda, nimejaribu kuzunguka maeneo ya Mjini,Upanga, Mchafukoge,Kariakoo...n.k.Nimekutana na mabango makubwa ya ccm yenye wagombea wa udiwani na baadhi ya Wabunge yote yana picha za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
"...NENDENI KWA WAKUBWA WENZENU, ACHENI WASICHANA WASOME" JAKAYA KIKWETE/CCM 09/09/2010 1 Comment(s) Jakaya Mrisho Kikwete /CCM akihutumia Muheza, Tanga Mgombea urais kwa tiketi ya CCM...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana mitaa ya huku kwetu Mabibo kulikuwa na mkutano wa kampeni za uchaguzi wa udiwani na ubunge ilifanyika hapa kigogo-luanga kwa biti kahenga,kiukweli kabla ya muh. Julius Mtatiro kuingia,yule...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KIJANA Mohammed Ali Mohammed amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na mmoja wa walinzi wanaolinda nyumba ya makamu wa rais Dk Ali Mohammed Shein Maisara Mjini Unguja. Mtu ambaye anatuhumiwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hii nimeiona Michuzi blog: Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, ambaye pia ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Jakaya Kikwete, ameendelea kuvua wafuasi toka vyama shindani katika mikutano ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Umewahi kuwasikia hawa, labda tungekuwa na sampuli kama za hawa nchi yetu ingekuwa tofauti Fred Rwigyema Alex Kanyerengwe Sir Agathon Rwasa Pasteur Bizimungu Faustin Twagiramungu Jean-Bosco...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CCM is the best ever. Look at the accomplishments that JK administration has been able to accomplish! More and more students are enrolling in our local universities. The economy has been steadily...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Tofauti na chaguzi zilizopita ukiachilia ule wa kwanza 1995 CCM imeonyesha kuwa na wasiwasi wa hali ya juu kufanya hata waliokuwa hawafuatilii mambo ya uchaguzi kuanza kujiuliza kulikoni...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
(Mwananchi) CHAMA cha Mapinduzi(CCM), kimebadili ratiba za kampeni kwa mgombea wake wa urais, Jakaya Kikwete na sasa atafanya kampeni bila kupumzika tofauti na awali alipopangiwa siku za...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Dk Willibrod Slaa ameingia mkoani Shinyanga kusaka kura za urais. Na Chopper yake imeanza kazi upya baada ya kufanyiwa matengenezo madogo kwa siku nne zilizopita. Wananchi waliochoshwa na usanii...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nukuu ya Leo kutoka kwa Dk. Slaa "Simamia, Dhibiti, Wajibisha." Hii ni kauli nzito iliyotolewa na mgombea urais kupitia Chadema, Dk. Willibrod Slaa, akisisitiza umuhimu wa uongozi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais anapovaa kofia mbili yaani "urais" na "ugombea urais" anatumia kofia moja ya "urais" ili kujihakikishia ushindi, hivyo kufanya uwanja kutokuwa sawa kwa wagombea wote! Japokuwa duniani hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu uanze miezi kadhaa iliyopita, tumeshuhudia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ikijitahidi kufanya kazi zake kwa kiwango cha kuridhisha, kinyume na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Uwekezaji huu ni kwa manufaa ya watanzania wote au kikundi cha mafisadi? kuna taarifa kuwa serikali imesaini mkataba na kampuni ya Orphir Energy ya mjini London mkataba wa $50m kuchimba mafuta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati vijana ulimwenguni wakiwa ni chachu ya mabadiliko ya Kisiasa,kiuchumi na kijamii hali imekuwa tofauti kabisa kwa vijana wa kitanzania ambao bado hawajaonesha uwezo wakuwa chachu ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za uhakika toka kambi ya CCM, zimeeleza kuwa CCM kwa kutumia serikali yake iliyopo madarakani inafanya mpango wa kuzima mawasiliano ya simu hasa za mikononi ili watu wasiwasiliane kujua...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mabango ya CCM yaipasua kichwa Nec Thursday, 09 September 2010 22:31 Fredy...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa kiasi fulani nimefuatilia ziara zinazoitwa za kampeni za Kikwete. Kinachonishangaza ni jinsi anavyotumia mamlaka yake kushawishi watanzania wampigie kura. Akiwa Bukoba aliagiza ununuzi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom