Katibu mkuu kiongozi mbona hasikiki?

Single D

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
457
13
Tangu atoe taarifa kwa waandishi wa habari january 2008 kuhusiana na ripoti ya EPA Katibu Mkuu Kiongozi ndugu Philemon Luhanjo amekuwa haonekani tena kutoa habari za ikulu.Yuko wapi?Je,ni mgonjwa?au kuna baadhi tu ya habari anazoruhusiwa kutoa?
Aliyeshika usukani kwa sasa naona ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ndugu Salva Rweyemamu ndo amekuwa akitoa taarifa za Ikulu.
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,926
10,427
Luhanjo Yupo Sana Na Anadunda Mzigo Kama Kawa........kazi Zao Ziko Tofauti Sanaa...ingawa Wanafanya Kazi Pamoja Mara Nyingi.....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom