Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,055
- 3,312
Baada ya kuwa na tetesi kuhusu chanzo cha kifo cha Ballali ambapo tangu nijiunge na JF nimekuwa nikisoma kwamba huyu marehemu walim-poison muda mrefu baada ya harakati za kuvuna fedha pale BoT kukamilika. Nimeingiwa na hisia kwamba there must another as target wa kufuta ushahidi kiaina kama alivyofanya Ballali. Kama kawaida humu JF ambapo mambo mengi yamekuwa yakiibuliwa bila shaka kuna mwenye taarifa juu ya mlolongo wa wale wanaotakiwa kufuta ushahidi kwa mtindo wa Ballali. Karibu tusemezane.