Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
wengi wetu ni kiwa mimi ni mmoja wapo simjui vyema Marehemu aliekuwa Gavana wa nchi yetu Tanzania.
kwa mara ya kwanza kumsikia na kuwa na intention ya kumsikiliza ni pale wimbi la wizi wa fedha lilipoibuka BOT.
nnasikia amefanya kazi sehemu mbali mbali kwa ufanisi zaidi, bila ya kuelewa ufanisi huo.
kwa sasa ameacha vitendawili vingi ni Fisadi si Fisadi?
ila ningependa kwa kuweka historia wale wenye kujua utendaji wake historia yake ya maisha na kazi tokea alivyotokea hadi mwisho wake atusaidie ili tumuelewe.
nnaomba hili kwa nia safi.
maana wengi tumejifunga vibwebwe na kucheza mziki tusioujua.
ni hatari lakini ndio kawaida ya baadhi ya watu kufata mdundo bila ya kufata step za ngoma yenyewe.
nnaamini nimeeleweka