Ubaguzi uliotia fora.

mukombosi

Member
Mar 21, 2008
49
1
Heshima wakuu
Nawapongeza CUF kwa kutafuta haki za wapemba huko visiwani zenj.
Watz wote wanatambua lengo kuu la mupambano huu ni kubaguliwa kwa wapemba na serikali ya zenj iliyojaa waunguja.Ni wazo zuri,na wamefikia kutaka kujitenga kabisa.hongereni kwa kazi muzuri.
Naomba kupata jua,serikali hii hii iliyojaa waunguja(majority) na wapemba(minority) wooote ni waislamu,cha kushangza ktk malumbano yao ya kila siku hawagusii swala la kuwapa fursa na wakristo waishio zenj kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya riserikali lao.
hatuoni kuwa kubaguliwa huku kwa wakristo kunaweza jenga picha mbaya zaidi na itakayoweza zaa matunda machachu zaidi siku za mbeleni?ni wazi kuwa wapambanaji wote huko zenj wamejawa na hisia za udini na uunguja na upemba zaidi,huku wakiwaona wakristo wachache waliomo zenj si kitu!!!!hawana sauti!!!ni mikia daima!!!
Watz woote,sifurahishwi na hali hii hata kidogo,natoa wito kwenu wakristo woote,munaomwogopa MUNGU na mlio tayari kumtetea MUNGU wenu,hali hii ikiendelea na ikitokea hakua representatives wa wakristo ktk serikali ijayo zenj,nasi tuanze kuwabagua waislamu woote huku bara,ktk nyanja zooote,na hakuna kumpigia kura mgombea yeyote muislamu.Kwa ufupi tutampa kura zetu mgombea yeyote yule mkristo tuu,hata urais tutampa mkristo tuuuuu,hadi kileweke,Mtikila hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Sio Wakristo wote wana religious bigotry kama unayo ionyesha hapo. Na nani amekwambia kwamba huko Bara kuna clear Christian majority, (or Islamic, for that matter)?

And you better be faking that foreign twang, because if you really are an alien then I question your motives. Watu wanajaribu kujenga madaraja na kuziba nyufa zinazo weza kuligawa Taifa, wewe una introduce uninformed demagoguery hapa.

Big bigot, shut your face!
 
..jmushi na mwkjj,

..thanks zenu hapo juu ni za nini?

..kwanza,hii si breaking news.

..pili,hizi ni propaganda za kibaguzi!

..ndio maana unaitwa mukombosi badala ya mkombozi!
 
Kuhani Mkuu na wenzako mnatia aibu
Fungeni midomo yenu kwanza kwa kurishabikia ri element la kibaguzi.
Wangelikuwa waislamu wachache wako zenj hawapewi nafasi wangeandama hadi UN(mfano mzuri ni wapemba wamechoshwa na kutopewa nafasi),wakristo wakihoji,oooohhh wanaleta ubaguzi.
Ninyi ni wabaguzi tena wa kutupwa,nawaambieni wakristo wooote hapa JF wanawacheki mnavyojikanyaga kuukwepa ukweli.
Mungu atujahalie uzima,Chama Cha Kutetea Maslahi ya Wakristo kitasimamisha mgombea wake wa uraisi na wabunge then mtauona moto.Na ahakika tutashinda,hakutakuwa na mafisadi huko wala matatizo tena,waislamu itakuwa zamu yenu kuongozwa hadi mwisho wa dunia.
Acheni ubaguzi wa kishenzi la sivyo nyamazeni kimya.
 
Sio Wakristo wote wana religious bigotry kama unayo ionyesha hapo. Na nani amekwambia kwamba huko Bara kuna clear Christian majority, (or Islamic, for that matter)?

And you better be faking that foreign twang, because if you really are an alien then I question your motives. Watu wanajaribu kujenga madaraja na kuziba nyufa zinazo weza kuligawa Taifa, wewe una introduce uninformed demagoguery hapa.

Big bigot, shut your face!
KUHANI MKUU hapo umenena jambo hawa watu watu wana leta masikhara na maisha ya mtakapoanza kuleta mambo ya udini hilo ni tatizo kubwa sana waangalie Palestina na Islael
 
Sidhani kama kuna mkristo yeyote mwenye akili timamu ataunga mkono hili. Suala la msingi hapa ni uwakilishi. Sio mwakilishi. Je kuna mtu anawakilisha maslahi ya kikundi flani kwenye vyombo husika? Kama yupo, basi sidhani kama kuna haja ya kuanza kupigiana kura kwa kuangalia imani za watu. Rais kama Rais, ni mwakilishi wa imani zote, na anapaswa kusimamia maslahi ya imani zote. Kuwa na serikali ya dini moja huko visiwani haina maana kwamba hakutakuwa na uwakilishi wa maslahi ya wakristo.
 
Heshima wakuu
Nawapongeza CUF kwa kutafuta haki za wapemba huko visiwani zenj.
Watz wote wanatambua lengo kuu la mupambano huu ni kubaguliwa kwa wapemba na serikali ya zenj iliyojaa waunguja.Ni wazo zuri,na wamefikia kutaka kujitenga kabisa.hongereni kwa kazi muzuri.
Naomba kupata jua,serikali hii hii iliyojaa waunguja(majority) na wapemba(minority) wooote ni waislamu,cha kushangza ktk malumbano yao ya kila siku hawagusii swala la kuwapa fursa na wakristo waishio zenj kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya riserikali lao.
hatuoni kuwa kubaguliwa huku kwa wakristo kunaweza jenga picha mbaya zaidi na itakayoweza zaa matunda machachu zaidi siku za mbeleni?ni wazi kuwa wapambanaji wote huko zenj wamejawa na hisia za udini na uunguja na upemba zaidi,huku wakiwaona wakristo wachache waliomo zenj si kitu!!!!hawana sauti!!!ni mikia daima!!!
Watz woote,sifurahishwi na hali hii hata kidogo,natoa wito kwenu wakristo woote,munaomwogopa MUNGU na mlio tayari kumtetea MUNGU wenu,hali hii ikiendelea na ikitokea hakua representatives wa wakristo ktk serikali ijayo zenj,nasi tuanze kuwabagua waislamu woote huku bara,ktk nyanja zooote,na hakuna kumpigia kura mgombea yeyote muislamu.Kwa ufupi tutampa kura zetu mgombea yeyote yule mkristo tuu,hata urais tutampa mkristo tuuuuu,hadi kileweke,Mtikila hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Ingekuwa ni serikali nyingine iliyo na Wakristo bila Waislam; Hawa ndugu zetu Waislam wangekuwa wameshaandamana (maana ndio kawaida yao).
 
Sidhani kama kuna mkristo yeyote mwenye akili timamu ataunga mkono hili. Suala la msingi hapa ni uwakilishi. Sio mwakilishi. Je kuna mtu anawakilisha maslahi ya kikundi flani kwenye vyombo husika? Kama yupo, basi sidhani kama kuna haja ya kuanza kupigiana kura kwa kuangalia imani za watu. Rais kama Rais, ni mwakilishi wa imani zote, na anapaswa kusimamia maslahi ya imani zote. Kuwa na serikali ya dini moja huko visiwani haina maana kwamba hakutakuwa na uwakilishi wa maslahi ya wakristo.

Mkristo yeyote ana akili timamu sio Zero kama wewe.
 
Ungekuwa unajaribu kuchanganua hoja kabla ya kukurupuka na kujibu. Hoja yangu ni kwamba hakuna mkristo mwenye akili timamu ambaye ataunga mkono hoja ya kipuuzi kama hii. Kama wewe ni mkristo na unaunga mkono hili, basi nina kila sababu ya kuamini kwamba uko kwenye kundi la hao wasio na akili timamu. Kikubwa ni kwamba hatutaki masuala ya ubaguzi wa kidini katika mchakato mzima wa uendeshaji wa serikali yetu.
 
Zero una akili kama sifuri!!!!
Hupendi uwakilishi unaozingatia dini ya mutu,umejiuliza ni sababu zipi za msingi zinazombana Muungwana hasichague PM muislamu?hata alipoondoka EL,Muungwana alimrudisha PM mkrsito,unadhani Muungwana hana akili kama zako?kwnini public figures za kupewa U PM zilibeba majina ya Magufuli,El na Mwandosya(wote wakrsito)?
Ukitaka kuona CCM inakosa kura za urais(siku zijazo) walogwe kujichagua waislamu pekee kwa nafasi za Upresident,makamu na u PM.
Sina muda wa kubishana nawe kijana,jirekebisheni na ri tabia renu ri chafu,mtaja kosa vyote.
 
wewe kweli mpemba swafi na wala si safi

sasa serikali ya muungano ndio ya zanzibar?

hivi unajua kuwa zanzibar kushiriki kwenye serikali ya muungano mara nyingi viongozi wote wanaotoka zanzibar kuingia muungano ni waislam mabalozi na sehemu nyengine unajua kwa nn?

kule namba inaonyesha huwezi kusema waziri kiongozi awe mkristo ikiwa rais muislam au waislam asilimia 55 na wakristo asilimia 45 haiyendi mkuu.

kuendesha serikali ya zanzibar masuali ya dini ya muhimu
 
Jameni, munareta fujo eti? nitareta akina marwa na chacha arafu mutanitambua, kwanini mnareta ubaguzi wa kidini hapa jamvini, acheni wafu wazikane wenyewe!!!!!! haaaa!!!, mukombosi punguza jaziba , nchii ni yetu sote na serikali yetu haina dini, hivyo yote tuyafanye kwa wema na kisha tuvumiliane.TUTAFIKA
 
... kazi ipo kweli kweli, mwaka huu tutamaliza kweli?!! Kila mtu anataka mwakilishi wa imani yake! Haya mabohora, bahai, wahindu, pagani, ... na wenyewe wasemaje?

Cha muhimu yeyote anaweza kuwa mwakilishi (awe mwislamu, mkristo, au ...), cha muhimu ni je ni mchapakazi, mwadilifu, na je ndani ya uwakilishi wake ana respect imani ya wenzake?

Ninavyofahamu ZNZ kuna makanisa makubwa tu (RC, Anglikani, Lutherani), na wakristo wa pale wanaruhusiwa kusali, na kuendelea na shughuli zao bila ya bughudha yeyote, na hicho ndicho muhimu.
 
Heshima wakuu
Nawapongeza CUF kwa kutafuta haki za wapemba huko visiwani zenj.
Watz wote wanatambua lengo kuu la mupambano huu ni kubaguliwa kwa wapemba na serikali ya zenj iliyojaa waunguja.Ni wazo zuri,na wamefikia kutaka kujitenga kabisa.hongereni kwa kazi muzuri.
Naomba kupata jua,serikali hii hii iliyojaa waunguja(majority) na wapemba(minority) wooote ni waislamu,cha kushangza ktk malumbano yao ya kila siku hawagusii swala la kuwapa fursa na wakristo waishio zenj kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya riserikali lao.
hatuoni kuwa kubaguliwa huku kwa wakristo kunaweza jenga picha mbaya zaidi na itakayoweza zaa matunda machachu zaidi siku za mbeleni?ni wazi kuwa wapambanaji wote huko zenj wamejawa na hisia za udini na uunguja na upemba zaidi,huku wakiwaona wakristo wachache waliomo zenj si kitu!!!!hawana sauti!!!ni mikia daima!!!
Watz woote,sifurahishwi na hali hii hata kidogo,natoa wito kwenu wakristo woote,munaomwogopa MUNGU na mlio tayari kumtetea MUNGU wenu,hali hii ikiendelea na ikitokea hakua representatives wa wakristo ktk serikali ijayo zenj,nasi tuanze kuwabagua waislamu woote huku bara,ktk nyanja zooote,na hakuna kumpigia kura mgombea yeyote muislamu.Kwa ufupi tutampa kura zetu mgombea yeyote yule mkristo tuu,hata urais tutampa mkristo tuuuuu,hadi kileweke,Mtikila hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Hoja ya kipumbavu na haina msingi ukiangalia mazingira ya Zanzibar lakini kwa ufupi tu ni kuwa kulishakuwa na wawakilishi wakiristo Znz kama kina KIsasi mtu na dada yake ambao mpaka leo icha ya kuwa walizaliwa Znz lakini hawajasahau asili yao ya Uchaga na kila Christmas n lazima waende kule migombani kama ilivyo kawaida ya Wtz wenzetu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Hivi sasa kuna mwakilishi kama sikosei ni wa jimbo la Fuoni ni Mkiristo na jee Brigadia mstaafu Mwakanjuki ambaye hatoki katika nafasi ya Uwaziri kila awamu ni nani.

Wacha fikra zilizooza na kutaka kuwagawa Watanzania ambao upeo wao wa kufikiri uko zaidi ya hapo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom