Dark City
Reaction score
303

Profile posts Latest activity Postings About

 • AshaDii
  Hahahahaha..... Unasahau Thread yako mwenyewe?

  Thank you DC...
  AshaDii
  Mambo yalinibana.... Nilikamatika vibaya mno.
  Upande wa kikazi ulikaa vibaya Mno, the worst
  ambayo imewahi tokea... Namuachia Mungu hata
  hivo... Lakini sasa am good na tutakutana.

  Mzee DC hua sisahau thread za msingi, na sabb ni yako
  ndo maana nikakumbusha... Sasa wanishangaza, kwa nini
  nimekushtua kuhusu kukukumbusha thread?
  AshaDii
  Yaaani Mzee DC nina two messages meant for me
  alafu umejitumia mwenyewe? lol itabidi nikununuliee
  miwani. Kawaida yatakiwa kama wamuachia member
  VM hakikisha upo kwenye profile yake ili kuepusha
  kujitumia....

  Pole saana kua siku ile niliwashtua, ndio maana niliomba
  Mods wabadilishe mara moja before the damage was
  further done.

  Mzima lakini?
  Dark City
  Umenistua sana ADii,

  Nilidhani RR ndo katutoka...

  Pole sana dada,

  DC
  Dark City
  Poa ADii,

  Leo nimebanwa sana na ndio nachungulia sasa hivi!

  Vinginevyo sijambo kabisa,

  DC
  AshaDii
  Mzee DC mambo yalinibana kiasi, Jana nilikuwepo jamvini
  but kwenye short posts ambazo hazihitaji my whole brain.
  Mzima wewe?? Leo natembelea pale mahala...

  Pamoja Saana.
  Dark City
  Ahsante ADii,

  Ngoja nikatafute kikombe cha kahawa kwanza,

  Karibu sana!
  AshaDii
  Morning DC....

  I am Glad umefanikiwa... Na more Glad am the 1st kupost kitu hapa... it is not an issue of Flexibility or Uzee if you have done it in not less than five minutes that means you are more than good... Hivo basi hii ndo ilikuchanganya....lol... Saizi sasa umeona tofauti.....

  Nakutakia siku njema...
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top