Masikitiko makubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masikitiko makubwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkware, Sep 11, 2010.

 1. m

  mkware New Member

  #1
  Sep 11, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenzenu nina masikitiko makubwa sana!

  Nimetoka kumsikiliza mbunge mmoja wa Marekani akisimulia ambavyo nchi yake ilikampeni na kutenga karibu Milioni 23 (kama si bilioni) dola za kimarekani kuhakikisha KENYA wanaingiza kipengele cha "UTOAJI MIMBA" (ABORTION) kwenye KATIBA yao mpya. Yaani kuna watu kabisa wakakatiwa Mafungu kuhakikisha kwa njia yeyote ile Hicho kipengele kinapita. Nasisi waafrika tulivyo wajinga tunapokea pesa ili ndugu zetu wafe, maadili yaondoke n.k

  Kama kweli hiyo serikali ya Marekani inatuonea huruma hivi si wangetupa dawa za Maleria tukomeshe gonjwa hili? Mbona ikifika kwenye hili Swala wanapiga chenga? Mimi nashindwa kuelewa.


  Nahisi hiki kitu kinakuja Tanzania muda si mrefu na hivi tunavyopenda kuiga tu bila kujua athari tutakwenda na maji. Nimeona hapo MDAU ANASHABIKIA PAYPAL Kuingia kenya. Kaandika kwa masikitiko kiasi kwamba kama anaona wivu vile. MIMI NINA MASIKITIKO.

  MASIKITIKO

  MKWARE
   
 2. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  karibu sana mgeni
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Usiumize kichwa chako na Wakenya. Mimi wala hawaninyimi usingizi na makelele yao. Hiyo paypal wanayoringia the way it seems hawawezi hata kutoa credit kwa local banks, so whats the use? Na hata wenye paypal wako wangapi? How concretely will it contribute to the economy? Ze mzunguz wanajua wanachokifanya hapo maana sidhani kama the locals ni part of the plan.

  Kuhusu hiyo abortion bana asikudanganye mtu, ze wazungus works with plans mazee.Hawaendi kichwa kichwa. Kama unafuatilia vyema hawa mabwana walishaanza vikao tangia 1880s kuigawana Afrika mpaka kufikia wao kwa wao kutoana ngeu kwa ajili ya rasilimali za Afrika. Kuhusu abortion hapan'shaka wameshakaa kikao huko wanaona resources za Afrika hazitoshi kwa greedy scales yao, na kwamba lazima wapunguze idadi ya watu ili at least nchi ikalike pale maisha yatakapokuwa kuwa magumu. Unajua kuna member mmoja wa JF kichwa sana, alisema hawalaumu Wakenya kwa kugombana, kwa sabababu wamejikuta wako wengi hawana kitu na asilimia zaidi ya 50 ya ardhi nzuri kwa kilimo na vitega uchumi vimeshikwa na akina Moi na wapambe wao, ambao hawazidi hata 10 % ya watu wote, sasa ni wazi ktk mazingira kama hayo si rahisi kulika wala kupakulika. Tz we are slowly following this trend, and tukienda na kasi hii ya hawa vibaraka na mafisadi CCM within 30 years tutawarithisha wajukuu wetu linchi lisilokalika! (inhabitable kama Somalia)

  The same abortion, same sex marriages etc zipo njiani huku tz, maana viongozi wetu ndio kabisa ni muflisi kuliko hata wa Kenya.Its only the matter of time kabla hatujasikia bunge linapitisha kinyemela sheria za kudhibiti uzazi kama hizi.
   
 4. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  Tatizo tunaongozwa na imani za dini lkn nikifikiria kwa kina nibora utoaji mimba uruhusiwe tu kutokana na ninavyoona
   
 5. S

  Sylver Senior Member

  #5
  Sep 11, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wenyewe hilo swala kwao ni mdajala mkali bado halafu iweje warukie nchi zingine.
  Ok lete source
   
 6. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,446
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  hapa Tanzania utoaji mimba ni biashara nono iayofanywa na madaktari, polisi nao wamo kwani hupewa mgao ili wasichukue hatua, Marie stopers wao kwa mda mrefu sasa wanafanya hii biashara tena waziwazi, hawa viongozi wetu wakiwajaza madent mimba nao hukimbilia kwenye hiyo huduma. nimekuwa nikilifuatilia suala hili kwa mda mrefu sasa nimegundua hakuna chombo cha dola kinacholifuatilia suala hili.
  hapa iringa kuna jamaa aliajiriwa kama mganga kwenye zahanati fulani, kwa siku saba alizikaa alikuwa tiyari kashawachomoa mimba wanawake 10 wakiwemo wanafunzi na wake za watu. inasikitisha lakini sijaona wa kulikemea hili
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Vichanga vinavyonyofolewa tumboni mwa kina mama ni malighafi ya kutengeneza vipodozi ghali wanavyotumia kina Beyonce, P.Diddy na watu wengine mashuhuri. Hakuna pahala pengine pa kupata ---ni Afrika.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Du! Mkuu hii ni kweli?
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Unless kama sielewi vizuri, lakini what i think is that, hii inakuja kama sheria in package, kwa maana kwamba inakuwa na maelezo ya kutosha ya maelezo na implications zake kwa watakaohusika!

  Kwa mantiki hiyo ni mpaka tuone hiyo package na kuelewa ndo tunaweza kusema kitu!...Mi sipingi wala siruhusu!
   
 10. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  usishangae wakenya wakipitisha hicho kipengele
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu hapo kwenye red inabidi tuwe na facts aisee

  Napinga abortion kwa nguvu zote lakini nadhani rather than kupinga na kuendelea kuona watoto wanatolewa uswahili, ni bora suala zima la abortion liangaliwe kwa namna pana zaidi. Hata kama hatutatunga sheria kama wamarekani wanavyotaka, nadhani hali ya sasa na idadi ya mimba zitolewazo zinatisha!!!!! tuanze kwa kuzuia hizi abortion za mitaani then tuangalie sheria mpya
   
 12. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Hongera mkware kwa mada nzuri.tz wamo mbioni kuhalalisha abortion.walishapitisha mkataba wa maputo.
   
Loading...