Elections 2010 Mgombea Ubunge CCM Biharamulo apandishwa Kizimbani!

Xuma

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
683
196
Nimesikia tetesi kuwa Ndg. Oscar Mukassa ambaye ni mgombea ubunge Biharamulo Magh. kupitia CCM amepandishwa kizimbani Kwa kutoa nyaraka (vyeti) feki alivotengeza mwenyewe kuonyesha kuwa mgombea ubunge jimbo hilohilo kwa tiketi ya CHADEMA Dr. Victor ambaye kitaaluma ni daktari wa kutibu wangonjwa hospitalini kuwa ni dokta feki.

Kama kuna mtu anadata au anaweza kuwa na source ya kuaminika tujulishe jamani.
 
Hivi safari hii keshatengeneza mambo yake na jina Mukasa halina tatizo tena kulitumia ! Nakumbuka wakati wa uchaguzi mdogo mwaka jana alivyoamua kulikacha na kujibatiza Oscar Rwegasira.
 
Nimesikia tetesi kuwa Ndg. Oscar Mukassa ambaye ni mgombea ubunge Biharamulo Magh. kupitia CCM amepandishwa kizimbani Kwa kutoa nyaraka (vyeti) feki alivotengeza mwenyewe kuonyesha kuwa mgombea ubunge jimbo hilohilo kwa tiketi ya CHADEMA Dr. Victor ambaye kitaaluma ni daktari wa kutibu wangonjwa hospitalini kuwa ni dokta feki.

Kama kuna mtu anadata au anaweza kuwa na source ya kuaminika tujulishe jamani.

Tutasikia mengi mwaka huu.

Arusha Godbless Lema anatuhumiwa ana vyeti feki washindani wake wanaandaa utaratibu wa kumfikisha mahakamani.
 
kuanza kuibua maovu ni dalili nzuri... haya yamekua yakifanywa miaka nenda miaka rudi na baadhi ya walizoea... HONGERENI MNAOIBUA MAOVU YA WAGOMBEA
 
Mimi nimependa Xuma alivyotumia neno Ndugu katika mada yake! Ni rahisi sana kukimbilia matitle makubwa makubwa kama Bwana, Mheshimiwa nk.

Ninakubali pia kuwa ni muhimu kufichua uovu katika jamii, lakini ni nani na kwa ajili gani sasa yananitia mashaka. Ndg Godbless wa Arusha sio mara yake ya kwanza kuonekana mbele ya jamii na kama kuna madudu aliyoyafanya miaka nenda yangekuwa yamejulikana. Sawa na Ndg Mukasa(Oscar) ambaye baada ya kuona anaelemewa na mpinzani wake anamsukia kashfa, nako Arusha wapinzani wa Ndg Gobless watakuwa wanazidiwa sasa wanatafuta kumchafua; kama vile ilivyokuwa kwa Ndg yetu Slaa.

Tuchukue tahadhari, wengine ni wachafuzi tu, sio waibuaji wa maovu yaliyo ndani ya jamii yetu
 
na bado, mengi yatakuja .........................................................
 
Back
Top Bottom