Majaji wa Kinaijeria Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majaji wa Kinaijeria Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WomanOfSubstance, Sep 10, 2010.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Katika kipindi cha Utawala wa Salmin Amour, Zanzibar iliwahi kuajiri majaji wa Kinaijeria.Najua pia kuwa Tanzania hupeleka majaji kufanya kazi visiwa vya Shelisheli kwa sababu, kutokana na udogo wa kisiwa na ukaribu wa wananchi, kwa maana karibu kila mtu anahusiana na mwingine, kuajiri washelisheli kutapelekea haki isionekane kutendeka.Kuna uwezekano wa jaji kuhusiana na wenye kesi.
  Sasa kwa ishu ya Zanzibar, kilichopelekea kuajiri majaji wa kinaijeria ni nini? Na je utaratibu huu unaendelea?

  Mwenye ufahamu mzuri wa hili swala nitaomba atujuze.
   
 2. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Kwa sababu zanzibar imeamua hivyo sasa kama kuna tatizo lieleze
   
Loading...