Mwanahalisi tusaidieni

Mwanahalisi tusaidieni

Safre

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
273
Reaction score
36
Gazeti letu pendwa tunaomba mumuoji shekh yahaya juu ya afya ya kikwete anaonekana anajua
 
Mbona Mwanahalisi online no update? Limefungwa?
 
Mbona Mwanahalisi online no update? Limefungwa?
=====

Mwana Halisi
Raia Mwema
Tanzania Daima

Webmasater wake amesafiri kwenda Arusha, ndiyo maana hakuna updates. Jitihada zinafanyika kuwa mnaletewa habari on hourly basis, na si weekly kama ilivyokuwa siku zote.
 
Back
Top Bottom