Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 883
What else could you say?Tovuti ya Raia Mwema-jarida tulilokuwa tukiliamini kwa taarifa zake fasaha- ina habari za toleo la wiki iliyopita.Kumbuka hilo ni jarida linalotoka once a week kwa hiyo wana muda wote wanaohitaji kwa ajili ya kuweka habari za toleo jipya.Namini sio kwa sababu ya uzembe bali wamefadhiliwa na CCM wasiweke habari mpya mtandaoni.
Tanzania Daima nao wamegoma kuweka habari mpya tangu majuzi.Hawa tulikuwa tukiwategemea sana kwa vile tuliaminishwa juwa ni pro-Chadema.
Ulimwengu anaweza ku-update blogu yake (hosted by JF) LAKINI ANASHINDWA KUWAKUMBUSHA VIJANA WAKE KU-UPDATE TOVUTI YAO.
Nadhani sijakosea kuhisi kuwa WAMENUNULIWA NA CCM.
What do you think?