Yule alijiwahisha baada ya kupima na kuchanganya za mbayuwayu na zake!:A S embarassed:...alijua adhabu ambayo ingempata ingekuwa ni kama kumuua mara tano!Tulisikia kuwa wakati wa utawala wa mkapa,hakuna aliyenyongwa.je kuna mwenye kujua kama kikwete kanyonga au lah? Na vipi vifo kama cha yule trafic suzana wa musoma!