Masha kazi unayo tena kubwa sana pole sana

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Kweli raia wema wana mkamata mwalifu wanampeleka kwenye vyombo vya sheri kisha mahakama inamuhukumu kutoa faini ya shilling 5000 tena. Mgeni anachana pesa yetu ambayo ndio harama ya Taifa kisha anapewa fain ya pesa kido je hao walio mkamata wakisikia kuwa jamaa kaachiwa hv kweli polisi jamii inatia moyo raia je waziri wa fedha akisikia kweli atakubal.....badO safari ndefu ila poa hii nchi inavyopelekwa siyo kabisa.
 
kwani sheria zinasemaje juu ya hili? kama kuna mapungufu kwenye sheria tuwaagize wabunge wetu wabadili sheria ikidhi matashi ya muda tulionao
 
Kweli raia wema wana mkamata mwalifu wanampeleka kwenye vyombo vya sheri kisha mahakama inamuhukumu kutoa faini ya shilling 5000 tena. Mgeni anachana pesa yetu ambayo ndio harama ya Taifa kisha anapewa fain ya pesa kidoje hao walio mkamata wakisikia kuwa jamaa kaachiwa hv kweli polisi jamii inatia moyo raia je waziri wa fedha akisikia kweli atakubal.....badO safari ndefu ila poa hii nchi inavyopelekwa siyo kabisa.


Mkuu
Punguza munkari kidogo!
Najua uandikaji wako unaendeshwa zaidi na hisia..huh!

Lakini kimsingi ni kwamba sheria zetu nyingi hasa za upande wa utozaji faini ziko bado kizamani sana!...Msukumo mkubwa unahitajika bungeni kuzibadili ziendane na wakati.
 
Mkuu
Punguza munkari kidogo!
Najua uandikaji wako unaendeshwa zaidi na hisia..huh!

Lakini kimsingi ni kwamba sheria zetu nyingi hasa za upande wa utozaji faini ziko bado kizamani sana!...Msukumo mkubwa unahitajika bungeni kuzibadili ziendane na wakati.
mkuu hata mimi ningekua na jazba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom