• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
ELNIN0
Reaction score
577

Profile posts Latest activity Postings About

 • M
  habari mdau ELNINO!
  naomba msaada wa mchanganuo wa gharama za kufuga kuku wa nyama,
  nataka kuanza na vifaranga 300, ningependa kujua aina bora ya vifaranga, gharama za chakula na dawa
  mpaka muda wa kuwauza unapofika.
  mimi nipo KIMARA
  Dar es salaam
  mwinyimvua55@gmail.com
  Lambardi
  Mkuu heshima kwako!nimesoma post yako nimefarijika sana naomba niwe mdau wako...nataka kuanza kufuga kuku wa nyama 1,000 baadae(miezi 4) nitaongeza 1,000 wa mayai...lengo nifike 4,000 iwe biashara kamili na inipatie kipato na mzunguko kamili wa pesa!

  Naomba mwongozo wako!kuhusu chakula,kuchanganya au kununua?

  Masoko mazuri kwa kuku wengi ya wapi?uzoefu umeshakupa network kubwa

  Vifaranga gani ni vizuri zaidi au vyote ni sawa?

  Na mengine ambayo utapenda kunishirikisha kwa faida yangu!

  Mabanda yatakuwa bagamoyo!
  Asanye
  subbyg@gmail.com
  D
  Mkuu upo Pls mbona hukujibu. Ndo majira yenyewe yanakaribia.
  Doltyne
  Nimeshindwa kukupm namba yangu, Nipm wewe basi. tuanze kutoka hapo.


  Abdul
  Doltyne
  habari ya leo mkuu, Nimesoma post yako kwa makini sana kuhusu kilimo cha mahindi Turiani. Sasa Nina maswali mengi sana ningependa tudiscuss kiundani mkuu. Naomba Nikupm Namba yangu tutaongea vema.

  Abdul
  D
  Mkuu ulipata wastani wa gunia ngapi kwa ekari? na shamba lako lilikuwa likitumika tangia zamani au jipya? Je, mbegu zako ni zile lazima utumie mbolea?maana Moro sio mkoa wa kutumia mbolea unless suala la seeds lilileta shida. Nataka kuingiza Timu. Je naweza kukutafuta kwa ajili ya kujadiriana nA Kujua undani kiasi fulani plan zako za last time na mwaka huu? Pls.
  M
  mkuu, huko nyuma nilisoma post yako ya kilimo cha mahindi. vipi bado unaendeleanacho? vipi mafanikio yakoje?
  ELNIN0
  Aisee suala la mahindi lazima niwape updates, ni kweli nimevuna lakini kuna challenges nyingi sana zimenikuta mkubwa na imenibidi mwaka huu ni overwhole plan nzima. nitakujuza.

  ila production haikuwa nzuri kiukweli - malengo yamekwama na hii kauli mbiu ya kilimo kwanza ndugu yangu ni usanii mtupu hakuna msaada wowote nimepata toka kwa serikali kuanzia mbolea, mbengu na madawa ya wadudu.
  Masikini_Jeuri
  Hujajibu pm zangu kibao since issue ya mahindi kule Turiani mkuu! Asante kwa kurespond hatimaye!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top