Mbio za uchaguzi chadema eneo la buyekera bukoba mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbio za uchaguzi chadema eneo la buyekera bukoba mjini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kaa la Moto, Sep 11, 2010.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  DSC_0048.jpg DSC_0045.jpg DSC_0049.jpg

  hapa ilikuwa ni katika kampeini ya chadema jimbo la bukoba mjini katika eneo linaitwa buyekera.
  Chadema wanakata mbuga...................
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mchukia Ufisadi, Biharamulo mashariki vipi?
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Duuuh niko mwanza huyu dogo wa chadema ni balaaa yaani maandamano yalikuwa makubwa mnooooo...polisi nimewapongeza kwa kuweka ulinzi makini na wamekuwa very polite kuhandle washabiki wa huyu bwana...Masha kazi anayo haswa
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  hapa ilikuwa ni katika kampeini ya chadema jimbo la bukoba mjini katika eneo linaitwa buyekera.
  Chadema wanakata mbuga...................

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  mkuu wangu nyu bado nawasiliana na wapiga picha wa biharamulo na bukoba wote wanipe submition ya picha zao niziweke hapa
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Aiseeeeeee unaweza kupata picha? Masha kazi anayo. Mie niliambiwa na dogo mmoja wa Mwanza kwamba jamaa huyo Wenje anakubalika kinoma.
   
 7. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kigogo dogo huyo wa jimbo gani, maana nataka kuona jiji kama mwanza linakuwa la mfano kuunga mkono mageuzi siyo kungangania cccccmmmmmmmmmmm tu
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nyamagana
   
 9. D

  Dopas JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante kwa thread
   
Loading...