Mgombea wa urais wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dr. Wilibrod Slaa amesema; Uamuzi wa CCM kukataza wagombea wake kushiriki midahalo ya kisiasa ni aibu kwa mwelekeo wa demokrasia...
Kweli raia wema wana mkamata mwalifu wanampeleka kwenye vyombo vya sheri kisha mahakama inamuhukumu kutoa faini ya shilling 5000 tena. Mgeni anachana pesa yetu ambayo ndio harama ya Taifa kisha...
Mwenzenu nina masikitiko makubwa sana!
Nimetoka kumsikiliza mbunge mmoja wa Marekani akisimulia ambavyo nchi yake ilikampeni na kutenga karibu Milioni 23 (kama si bilioni) dola za kimarekani...
ndugu zangu, naombeni maoni yenu kuhusu gazeti, la mwananchi kama linalipoti sawa kuhusu habari za siasa bila kubase chama cha mapinduzi, kama HABARI LEO, MTANZANIA na mengine mengi, ambayo ni...
Wadau nimeota ndoto. Ni kama tarehe 1 nov hivi ambapo zoezi la kuhesabu kura za urais linaelekea kukamilika. Taarifa zisizo rasmi ni kuwa Dr Slaa anaongoza kwa kura kwa %85 hivi. Nchi nzima...
Nimesikia tetesi kuwa Ndg. Oscar Mukassa ambaye ni mgombea ubunge Biharamulo Magh. kupitia CCM amepandishwa kizimbani Kwa kutoa nyaraka (vyeti) feki alivotengeza mwenyewe kuonyesha kuwa mgombea...
Nimetumiwa waraka huu kwa email kutoka kwa jamaa mmoja anayeishi huko mikoani. Nawabandikia wadau ili muone ushauri wake.
Soma kwa makini:
sambaza ujumbe huu uwafikie wapiga kura wote waliopo...
Wakuu si ushabiki ila nasema ki ukweli kabisa for the first time katika uchaguzi huu tunaona CCM - Ikiweweseka, juzi na jana nilikuwa Arusha nimezunguka sana mjini, talk of the town ilikuwa CCM...
Wadau samahani kuiweka hapa, Mods please iondoe after 1 day ili tupate na kama ipo same mada, please iunganisheni..
..Tumekuwa tunawasiliana na ndugu na jamaa zetu waliopo nje ya TZ kwa sms, lkn...
Tulisikia kuwa wakati wa utawala wa mkapa,hakuna aliyenyongwa.je kuna mwenye kujua kama kikwete kanyonga au lah? Na vipi vifo kama cha yule trafic suzana wa musoma!
nimeangalia leo ITV baada ya taarifa ya habari Dr Slaa alikuwa kiongea, ghafla alipoanza kuzungumzia ufisadi, akakktishwa na baada ya matangazo wakaweka kipindi cha igizo!
kweli huyu shujaa...
Nimejiuliza leo, ni nani na NAMNA gani wahusika wanachagua sehemu ya kufanyia Swala ya EID?
Nakumbuka Kinana aliwahi kusema Mgombea uraisi wao atarudi Dar kwa ajili ya mapumziko na kushiriki Eid...
wakuu habari za Sikukuu?jamani nimekaa nikafikiria kuna sababu kubwa sana ndani ya SiSi Njemu kukataa Debate kwa Mkulu wao na hii ni shinikizo la makamba(The Fataki),Kikwete alianguka Jangwani...
Kwa niaba yangu binafsi, mgombea mwenza, timu nzima ya uongozi wa Chadema na Chama chetu tunawatakia heri ya Siku Kuu ya Eid El Fitr ndugu zetu Waislamu pote Tanzania wanaposherehekea kumalizika...
Ningependa kufahamu kipindi kama hiki cha uchaguzi mkuu serikali inakuwa wapi na majukumu ya rais ni yapi na mipaka yake ni ipi. Nadhani wengi tungependa kufahamu hili. Nimeuliza hivi maana leo...
dalili hizi ni tosha kuwa chadema sasa imeshakamata nchi
dalili ya kwanza
ratiba ya kampeni ya ccm imebadilishwa ambapo mgombea urais sasa hatapumzika
dalili ya pil
ccm wameshaonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.