Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake 2.Rais wa kwanza kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi 3.Rais wa kwanza duniani kufanya safari nyingi za nje ya...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
1 1. Utangulizi Bunge la Tanzania ni moja ya taasisi muhimu sana nchini. Umuhimu wa Bunge unadhihirishwa na mgawo wa fedha zinazotengwa kwa ajili ya Bunge. Kwa mwaka wa fedha 2009/10 kiasi cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ati mie nashangaa watu wanasema Mramba alileta barabara kiupendeleo as if it wasn't in a TANROAD plan! Let me tell you guys these facts: First Kilimanjaro is the smallest region behind Dar es...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Chadema zingitieni yafuatayo muda huu wa kuelekea kupiga kura. 1. Ongezeni juhusi zaidi za kampeni na kujibu siasa zote za maji taka 2. Andaeni mikakati ya kulinda kura ili zisichakachuliwe 3...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikua nasikiliza taarifa asubuhi hii kutoka Radio Free Africa, nimeshtushwa na taarifa ya mtu aliyejitambulisha kua ni mkurugenzi wa taasisi inayojishughulisha na utafiti (CACT) kama wa REDET)...
0 Reactions
77 Replies
8K Views
kutokana na picha za mkutano wa tumbatu zilizowekwa kwenye mzalendo.net kuna hii hapa mm sijaelewa kulikoni? ina maana kweli CUF ni CCM B? au kwa jamhuri ya muungano wazee mumeamua kumtosa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
hiv kuna watu kama vile wamefanyiwa exchange ya damu na kuwekewa damu ya CCM i dnt know wat inakuwa hivi....., hivi kwa lipi bora ambalo hawa CCM wamelifanya la kutunufaisha sisi kama watanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani jitahidini kufuata kiapo hiki. na tumieni email zenu kuwatumia (to forward) ndugu, jamaa na marafiki ZETU KABLA YA SIKU YA KUPIGA KURA. NDUGU ZETU WANAWEZA PIA KUPRINT NA KUZAMBAZA KWA WATU...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya CCM kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi Dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa...
0 Reactions
1K Replies
152K Views
Kutokana SISIMU kuchafua na kuhatarisha amani kwa kutuma msg za vitisho kwa baadhi ya numba za simu.Naomba wote wasizingatie hizo Msg na waendelee kumchagua kwa kishindo Dr Slaa.Sisimu imeona...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Slaa attacked in stinging message By ABDULWAKIL SAIBOKO, 9th October 2010 @ 12:08 , Total hits: 105 THE Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has disassociated itself with a...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Kulingana na taarifa iliyosomwa leo na channel Ten, Mama Salma Kikwete akiwa kwenye ukumbi na wana UWT wa Tabora alionyesha kupigwa tafurani ya kwanini Ilani ya CCM kwenye eneo la kupunguza vifo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
TAFAKARI CHUKUA HATUA. Je hali inayoelezwa hapo chini ni kweli?. Kuna kitu muhimu kimeachwa hapo chini ambacho kinaathiri maisha ya mtanzania ambaye vitu vingi vinatoka nje, nacho ni kushuka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Chadema wamedai kuwa takwimu za kitaalamu zinaonyesha wapigakura wapo milioni kumi na sita lakini daftari laonyesha milioni kumi na tisa. Hivyo kuna karibu milioni tatu ambazo huenda zimeongezwa...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Kwa kweli mambo yanayofanywa na Kikwete na CCM yake yanazidi kunichefua sana. Nakumbuka huyu JK kupitia kinana walisema hawawezi kushiriki midahalo kwa sababu ya ratiba yao imejaa mpaka siku ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukitafakari uongozi wa JK kisiasa yuko sawa na Mrema, wote wako empty, hamna kitu, hawezi kuongoza chochote.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Dk.Slaa apata wakati mgumu Na Muhibu Said 10th October 2010 Aliyemnadi kwa Chadema akataliwa Aambiwa chaguo ni NCCR-Mageuzi Ni yale yale yaliyomkuta kule Kyela...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nadhani nyote mnafahamu kwamba jamaa aliwahi kusema kawekewa vinasa sauti kule hotel 56 Dodoma.Nilitaka kufahamu nani mmiliki wa Alba Apartments alipokuwa anaishi Dr.Slaa na Josephine na watoto...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Jakaya Kikwete ,akiwa ameketi chini ardhini kwenye vumbi na nyasi ili kumsikiliza Mama Sara Mageni mkazi wa Wilaya ya Makete, wakati...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom