NEC na Wapigakura milioni 19.6: Chadema yashuku daftari limechakachuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC na Wapigakura milioni 19.6: Chadema yashuku daftari limechakachuliwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 9, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  Chadema wamedai kuwa takwimu za kitaalamu zinaonyesha wapigakura wapo milioni kumi na sita lakini daftari laonyesha milioni kumi na tisa.

  Hivyo kuna karibu milioni tatu ambazo huenda zimeongezwa kwa makusudi na NEC ili kukisaidia CCM kipate ushindi wa mezani.

  SOURCE: CHANNEL TEN TAARIFA YA HABARI YA SAA MOJA USIKU
   
 2. Pacemaker

  Pacemaker Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Napendekeza vyombo husika Nec, Ofisi ya msajiri wisijepuuza taarifa hiyo kuepusha nchi yetu na migogoro . Naomba kuweka msisitizo kwamba viongozi wa taasisi husika wasije fanya makosa au mzaha. kwa hali ya mambo inavyoonekana ni muhimu kwao kuchukua hatua stahiki mfano kuunda tume huru ya uchunguzi-kama sheria zinahusika na shauri hilo zinavyoainisha kuthibitisha au kukanusha taarifa hizo ili hatimaye zijulikane mbichi ni zipi? na mbivu ni zipi????
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  This is very serious indeed!!! Tunataka NEC ndiyo wajibu, na siyo Makamba, Kinana au Tambwe Hizza. Tunataka Mzee Makame ajibu bila jazba maana suala lake la kuzeekea hapo NEC ni mjadala mwingine na sababu yake tunaijua.

  Mtakumbuka miezi kadha iliyopita NEC walitangaza kuondoa kwenye daftari majina ya wapiga kura zaidi ya milioni mbili kwa kisingizio eti wamekufa, wamehama makazi etc etc. Kumbe ni uongo mtupu. Hilo tangazo lilikuwa ni maandalizi ya kuongeza wapiga kura hewa -- na si kwa maana wapiga kura halisi waliongezeka, la hasha, ni tarakimu tu ambazo zitatumika kumuongezea mgombea wa urais wa CCM kura endapo atashindwa.

  Kwa NEC lile tangazo lilikuwa na maana ya kujihami -- kwamba watasema tutaongezaje kura hewa na iwapo tulitangaza kupunguza? Janja ya nyani!! Ni bora uchaguzi usifanyike.
   
 4. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi ni bora usiwepo kama washindi wanajulikana mapema,tz iwe nchi ya kifalme basi
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  hata mie nimeisikia.....nae mnyika alisema atawasilisha ile namba ya simu inayotuma msg ya kumchafua dk slaa kwamba ataipeleka TCRA na kwamba ile sio namba ya nje ya nchi bali ni ya hapahapa bongo....staytuned
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mwenzio akinyolewa wewe tia maji. NEC ya Tanzania itageuka kuwa kama ya Kenya. Makame atakuwa kama Kivuitu wa Kenya. Ngoja tuone, manake JK aache wananchi wachague rais wanayemtaka. Wananchi tumemkataa Kikwete. Hata Mikutano ya kampeni inajieleza. Watu wanajileta wenyewe kumsikiliza Dr. Slaa siyo hao CCM wanasomba watu kwa magari halafu wanaacha uwanjani na pumba zao. Dr. Slaa Kazana na kampeni Baba, wapiga picha endeleeni kuonyesha namna wanachi wanavyojaa mikutano ya Dr. Slaa na uchache wa watu wa mikutano ya CCM. Saa ya ukombozi imefika. Tumeonewa kiasi cha kutosha tumenyanyaswa kiasi cha kutosha na CCM sasa basi.
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Iyo msg na mimi nimeipata unaweza kuta VODA ndo wanatumika kusambaza huo ujumbe kwa amri ya RA.
  Illo suala la wapiga kura ni kukomaa na tume watueleze kinaga ubaga
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wadau nimetumiwa hiyo meseji ya kishetani sasa hivi kutoka namba: +3588108226
  Inasomeka hivi:Slaa ni mropokaji na mgomvi anatukana vyombo vya ulinzi na usalama,Anataka damu imwagike ili mradi aingie Ikulu.Tumkatalie kuigeuza nchi yetu Somalia.

  Lakini nawaambia kitu kimoja Mungu wetu ni mwenye nguvu atawaua kama kuku hawa wote wanaosambaza uovu huu.Slaa songa mbele baba huna mpinzani nchi umeshaichukua.
   
 9. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  ina maana uchakachuaji umeanza mapema namna hii? munu atusaidie,mungu aisaidie chadema yetu
   
 10. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni nini hasa hizi "takwimu za kitaalamu"? Yasije yakawa yale yale ya Synovate na REDET kutaka kulazimishwa kutangaza matokeo ya tafiti zao halafu wakitangaza mnazikataa! Teh teh teh!
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Meanwhile, the Chadema Campaign Manager, Prof. Mwesiga Baregu, has urged the National Electoral Commission (NEC) to elaborate on where the 19.6 million voters who are registered in the voters' book have come from, saying that with the country's population, the number was impossible.
  He claimed that the country's population was by last year estimated to be 40.6 million people out of which 44.4 per cent were estimated to be under 15 years of age and that the rest of the population minus those under 18 years and those who did not register it was impossible to have 19.6 million registered voters.
  According to the recent World Population Data Sheet issued by Population Reference Bureau, Tanzania is one of the countries whose population has many youths less than 15 years (45 per cent).
  Prof Baregu noted that from the consultations they have made from several experts, the country like this can have a maximum of 16 million voters other factors remaining constant.
  Attempts to reach the NEC Director for Elections, Mr Rajabu Kiravu, to comment on the matter proved futile as his mobile phone was not answered.
  Dource;DAILY NEWS SUNDAY 10
   
 12. PainKiller

  PainKiller Content Manager Staff Member

  #12
  Oct 10, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 2,739
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Holly Guacamole ! Is this the crux of the vote rigging conundrum ? Can someone get to the bottom of this and explain ?
   
 13. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0

  Actually this is a big mistake by NEC. They have been told to held the release of registered electorates fro two reasons:

  1. Watching the direction of campaign and estimating the dummy electorate to be included

  2. Releasing the number of electorate near election date will give no chance to anyone to try to reconcile the real voters, and hence big chance for dummy voters to be included to aid the sinking CCM's ectorates number

  3. Kinana said election strategy is not number of people who come to listen contestants during campaign rather is figure/number on the paper.

  In no way Tanzania can register nearly 20m electorates is false, lie and not credible. The election is real fraud ab initio, Unless they give independent people three months to reconcile these figure, there is no way we say NEC is prepared to administer free and fair election.

  The CCM-NEC-TISS strategy is whenever there is large opposition there should be secret bogus polling stations to counter the number of opposition. CCM wants to direct the country in chaos and this is part of that path. Sooner or later CCM will be out of power.
   
 14. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kama 45% ya watanzania mil.40 ni vijana chini ya miaka 15, ina maana 55% ya watanzania ni kuanzia miaka 15 na kuendelea ambao ni sawa na mil. 22. Kati ya hao wenye miaka 15, 16 na 17 wako chini ya umri wa kupiga kura tuseme ni asilimia 6 ya watanzania wote sawa na 2,400,000. Ukiwatoa hao utabaki na wapiga kura 19,600,000 idadi iliyotangazwa kuandikishwa na NEC.

  Ni sawa na kusema kuwa NEC imeandikisha watu wote 100% hadi vikongwe wa miaka 120 waliotakiwa kupiga kura, ni ajabu haijawahi kutokea katika nchi yeyote duniani tumeweka rekodi.

  Huu ni udanganyifu wa wazi naweza kusema ni wa kijinga, mtu yeyote lazima ahoji na kuhusisha na maandalizi ya wizi wa kura. NEC Tanzania watch out the whole world is watching you.
   
 15. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Na cha kushangaza zaidi turnout ya voting mwaka huu inweza kuwa 95% ya hiyo 19.6 mn tehetehe!!!!!! ili malengo yatimie
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  NEC ndo kitakuwa chanzo cha vurugu Tanzania on Oct 31
   
 17. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Cha kufanya, vyama vya upinzani na wanaharakati wasiishie kulalama magazetini, wachague mkoa au jimbo walilo na wasiwasi nalo waende physically wakalinganishe kama kweli watu wenye namba hizo wapo.

  Kama watagundua udanganyifu wa namba feki wasambaze hizo namba feki kwenye vyombo vya habari tena mbele ya external observers nakala ziende kwa mabalozi wa nje wote wajue mapema what is going on, kama kutakuwa na matatizo mbeleni ajulikane nani chanzo.

  Prof. Baregu, JJ Mnyika do you hear me don't sleep please the time is not on our side work on the issue, najua hamwezi kuhakiki daftari zima chagueni majimbo hata mawili myafanyie kazi haiwezekani watu wote eti wamejiandikisha kwa 100% hakuna wagonjwa hakuna vikongwe waliokufa je watanzania walio nje nao wameorodheshwa no way.
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua unapotaka kuchakachua lazima uwe smart kwenye hesabu.
  Utashangaa CCM kuna majimbo idadi ya kura itazidi idadi ya waliojiandikisha.
  Yangu macho na masikio bse kama watajipendekeza kyela au tarime ni kichapo
   
 19. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  This is very serious indeed!!! Tunataka NEC ndiyo wajibu, na siyo Makamba, Kinana au Tambwe Hizza. Tunataka Mzee Makame ajibu bila jazba maana suala lake la kuzeekea hapo NEC ni mjadala mwingine na sababu yake tunaijua.

  Mtakumbuka miezi kadha iliyopita NEC walitangaza kuondoa kwenye daftari majina ya wapiga kura zaidi ya milioni mbili kwa kisingizio eti wamekufa, wamehama makazi etc etc. Kumbe ni uongo mtupu. Hilo tangazo lilikuwa ni maandalizi ya kuongeza wapiga kura hewa -- na si kwa maana wapiga kura halisi waliongezeka, la hasha, ni tarakimu tu ambazo zitatumika kumuongezea mgombea wa urais wa CCM kura endapo atashindwa.

  Kwa NEC lile tangazo lilikuwa na maana ya kujihami -- kwamba watasema tutaongezaje kura hewa na iwapo tulitangaza kupunguza? Janja yao ya nyani!! Ni bora uchaguzi usifanyike.
   
 20. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nauliza: Hivi daftari la wapiga kura ni siri ya NEC? Tunaomba NEC nao wawape viongozi wa vyama vya upinzani daftari la wapiga kura for their perusal -- kama vile walivyofanya ZEC.
   
Loading...