Mama Salma akerwa na Ilani ya CCM kutopembuliwa kitaalamu utekelezaji wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Salma akerwa na Ilani ya CCM kutopembuliwa kitaalamu utekelezaji wake

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 9, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Kulingana na taarifa iliyosomwa leo na channel Ten, Mama Salma Kikwete akiwa kwenye ukumbi na wana UWT wa Tabora alionyesha kupigwa tafurani ya kwanini Ilani ya CCM kwenye eneo la kupunguza vifo vya watoto hakuna uchambuzi yakinifu wakitaalamu ili kuwaelemisha wapigakura mafanikio makubwa ya CCM kwenye eneo hilo.

  Huku akiungwa mkono na Waziri mdogo wizara ya elimu ambaye hivi majuzi alitolewa makamasi kwenye kura za maoni Zenji, Mama Salma alihimiza kampeni zifanyike kwa nguvu zote kuhakikisha CCM inaibuka kidedea.
   
 2. Rah_sputin

  Rah_sputin Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama wa kwanza anawakilisha...............
  Love and Peace!
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,001
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nikimtongoza atanipa?
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ongea yake mimi ndo huniua yaani kama mwalimu wa kindergatten
   
 5. A

  Atanaye Senior Member

  #5
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35


  Mkuu,
  Nimepumbazwa na hayo matamshi yake. Swali langu kama lake na kama limenukuliwa vilivyo... ...."hakuna wanofanya upembuzi yakinifu" kabla hajakurupuka na matamshi yake?

  Maoni yangu, anaongeza nguvu ya wale ambao wanadai au kuona ilani hiyo haimsaidii mtanzania.(kama imepwaya)

  Inawezekana hata hiyo taarifa imepindishwa, hivyo basi tuangalie nini kitaporomaka na hayo matamshi yake au taarifa ya channel ten
   
 6. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Acheni utani hapa kwenye forum.. tuwe na displine..

  Tuchangie hoja na siyo kutukana na kukashifu mtu, au mke wa mtu...

  Haya turudi kwenye hoja,, ilani yote ya CCM haina ukweli wala uwasi achilia mbali upembuzi yakinifu na umakini..

  Hivi mnajua kuwa hata wao CCM wakiongozwa na Makamba na Kinana wanajua ukweli ila sasa ubinafsi umewajaa......
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hahahaha hahahaha ha
  ilani ya ccm inawapa shaka hata wapigaji kampeni wakuu
   
 8. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,450
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  Nani wa kulaumu Baba au Mama wote wanaishi nyumba mmoja.
   
Loading...