Elections 2010 Kiapo kwa ajili yako

Thanks
nyongeza...
Sitachagua kiongozi anayetumia nguvu za KIJESHI kutishia raia wema na kusigina demokrasia
 
MPAMBALYOTO, Nakushukuru. ila katika pdf doc, nimeweka isuue kuhusu vitisho vya jeshi na CCM. Lakini tungeweza kuiboresha na kuipublicise au kuifikisha kwa wengi.
 
Back
Top Bottom