Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,663
- 107,089
Ati mie nashangaa watu wanasema Mramba alileta barabara kiupendeleo as if it wasn't in a TANROAD plan! Let me tell you guys these facts:
First Kilimanjaro is the smallest region behind Dar es salaam in size when the mainland Tanzania is considered! a 30 km road can look a big deal compared to 30 km road in Singida or Tabora or Iringa or Rukwa! Sasa ingieni TANROADS ebsite halafu muangalie project zilizopo halafu muangalie ni za urefu gani compared to hiyo barabara ya Rombo, Warombo washamba wanaojitambia nayo kama ile ya TARAKEA – RONGAI - KAMWANGA ambayo ni 32 km halafu compare na KYAMYORWA – BUZIRAYOMBO ambayo ni 120 km au DODOMA-MANYONI ambayo ni 127 km halafu muone alichofanya kama kina merits za kusifiwa, MARANGU-TARAKEA-RONGAI-KAMWANGA ni 100 km ambazo by the way ni trunk roads wala sio regional roads yaani kusema for the respective constintuent! Jamani hayo maendeleo mnayosema were meant to happen considering the location of the place i.e. border region na the current intergration process ni sawa na mbunge ajitmbe na ujenzi wa ARUSHA-NAMANGA-ATHI RIVER huu ni umbumbu!
Huyu jamaa yuko bungeni toka 1980 na ukiangalia mendeleo yanayosemwa kama mashule yalikuwapo toka anaingia ubungeni na yalijengwa kwa nguvu ya wazazi! Mbunge yeyote anaweza kuhimiza hilo na ukizingatia mwamko wa wanavijiji wa huko! Na cha ajabu kipindi hicho maji yalikuwapo sasa maji hamna sasa sijui tuseme haya ni maendeleo au ni ushabiki! Na pia watu wana kufa njaa huko! Zaidi ya hayo wakazi wa Rongai wamenyang'anywa mashamba yao wamehamia Kenya halafu cha ajabu mashamba hayo yamegawiwa maswahiba wa Mramba yaani kama wakina Mchomba, Michael Shirima n.k.
Cha kushangaza basi, watu wanaweza kusema ati aliweza kutenga hela kwa ajili ya barabara akiwa waziri wa fedha! jamani tuwe waerevu Donor countries wanafahamu fika CCM ni maharamia kwa hiyo hutoa hela za misaada zikiwa na "well specified" na "stated in bold" matumizi yake kama mnakumbuka kuna siku CCM walikuwa wanawika ati waruhusiwe kujiamulia mambo yao yenyewe lakini donor countries wakakataa maana wanajua unyanyapaa wao ingemaanisha NO BARABARA to opposition strongholds! Ndo maana basi kwa Mh. Zitto Mkeka wa lami umepita na alikuwa anawachachafya ile mbaya na cha ajabu CCM wanajitamba ati wamejenga wakati Donor countries walieleza zile hela zitumike wapi in advance!
Mbali ya hayo Mramba kwa kutumia influence yake alipokuwa waziri aliruhusu encroachment kwenye hifadhi ya Kilimanjaro wakina Mchomba wanavuna mazao ya misitu kama mbao wakati forest inazidi kuwa jangwa sasa kama huu si ufisadi right and left, up and down? ni nini? hawa watu wanaomsifu wanafaidika na ufisadi wake! ukichanganya na zile $ 11mio.! Jamani hime leteni mabadiliko Rombo!
Guys vote Selasini vote Slaa for prosperity