Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

I came across this analysis some days back an I thought the home of great thinkers can think about it. Jean-Bertrand Aristide, the prophet of deception Cambridge, Massachusetts - From a distance...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Can CCM tell us why hatuna vitambulisho vya utaifa ambavyo hupewa kila anayefikisha miaka 18? Hivi hii nchi imeenda kwa mbwa? kwanini suala hili halitiliwi maanani kama tuna wapiga kura millioni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu in support of Dr. Slaa I am dedicating this song YES WE CAN done by Cameal Davis feat. Assasin. Download it thru...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika hali ya kuenzi mwalimu JK Nyerere wana Jf inatubidi kuandaa mabango yatakayofikisha ujumbe murua kwa walioshindwa kumenzi Mwalimu kwa vitendo.Wanandugu tusaidieni katika hili. Bango NO...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dalili zinaonyesha ushindi mkubwa kwa Dr Slaa wa Chadema kuwa rais mpya wa Tanzania. Lakini kuna kiza kinene kama matokeo yatakayotangazwa yatafanana na maamuzi ya wananchi katika kura. Je Jaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mama Graca machel alinukuliwa kusema “Tunachanganya, tunapofikiri kuwa kila aliye na madaraka ni kiongozi, hii si sahihi, uongozi unakuja na utu, utaifa na kujali maslahi ya unaowaongoza”...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Thobias Mwanakatwe Mgombea ubunge wa Jimbo la Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe (CCM). Umoja wa vyama 10 vya upinzani katika Jimbo la Mbeya Mjini ambavyo vimemsimamisha mgombea ubunge mmoja...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimesoma mada ninayoiweka kwenye link hapa, ambayo imetulia sana, ikichambua kwa nini kauli ya Shimbo imesababisha majadiliano mazito. Kumbe ni Kikwete pekee ambaye amengangania USHINDI NI LAZIMA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
(Source: RAIA MWEMA NEWSPAPER) ONYO la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na vyombo vingine vya usalama limeibua mjadala mpana na mzito nchini. Ni mjadala unaohusu weledi wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Magazeti ya leo yameandika kwamba JK atahudhuria gemu kati ya Stars na Morocco. Hapo Watanzania tuhesabu kuwa bado timu yetu ina pointi 1 kwa sababu JK ana gundu.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Akiwa na mpambe wake Mwamtum Mahiza, mbele ya wakina mama wa Tabora huyu mama amekuwa akiyarudi kama sehemu ya kuomba kura. Hivi Watanzania tunataka wakata viuno? Matatizo yetu sisi ni nini haswa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba mwenye kukumbuka ile thread tuliyozungumzia mkutano wa Geldof na Kikwete na ile video clip ya Geldof akimsuta Kikwete aiweke hapa kisha Mods futeni thread ikimalizika.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
taswira ya jk namwona jk : anamwagiza shimbo awatishe wananchi anamtumia sheikh yahya kutabiri ushindi wake synovate na redet anawalazimisha kumpikia kura za maoni anavunja sheria ya uchaguzi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waheshimiwa nisaidie kitendawili hiki: Tangazo la kazi limetolewa. Sifa za nafasi hiyo ninazo. Barua ya maombi na CV nimeandaa na kuomba kazi hiyo. Sasa wameniita kwenda kwenye interview pamoja...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ya kwamba.... Mpaka leo hii CCM wameshatumia TZS Billion 127 kwenye kampeni zao!!! Je kwa namba hizi elimu na matibabu bure haiwezakani??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau: hii ni sehemu ya stori kuu katika Tanzania Daima ya leo. Nilipohighlight in red yaonyesha kwamba Tanroads katika uchaguzi huu ndiyo 'EPA' nyingine ya mchoto kwa ajili ya kampeni za CCM...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nilipakia kidaladala, baada ya muda nilisikia driver akizungumza na mwenzake ndanii ya gari kuwa leo nilimtumrudishia tajiri yangu funguo za gari kwa sababu alifngia bendera ya ccm kwenye gari...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Conclusion The findings of Uwezo’s large scale assessment involving over 20,000 households and over 40,000 children reveal that there is a crisis in education in Tanzania. By the time they enter...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimengalia kwa makini na kutafakari sana kisha nikaona kuwa kuna watu wanadhani kuwa watanzania wote ni wajinga kwa kiwango wanachotufikiria wao. Sasa hivi mama Salma Kikwete ana ziara Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF: Uchaguzi wa mwaka kuna mapungufu makubwa kwa upande wa CCM -- kukosekana kwa mpiga debe wao mkubwa aliyekuwa BBC London Tido Mhando ambaye katika chaguzi za huko nyuma alikuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom