TCRA disassociates itself with defamatory messages against Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCRA disassociates itself with defamatory messages against Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Njowepo, Oct 10, 2010.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Slaa attacked in stinging message

  By ABDULWAKIL SAIBOKO, 9th October 2010 @ 12:08 , Total hits: 105

  THE Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has disassociated itself with a defamatory message addressed to one of the presidential candidates and spread to some mobile phone users in the country.The Authority has urged the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) whose candidate, Dr Willbrod Slaa, has been abused in the message, to report the matter to responsible authorities for legal action.

  The TCRA Acting Director General, Dr Raynold Mfungahema, said this on Saturday while responding to the allegations and complaints by Chadema leaders who claimed that the message which came from Phone Number +3588976578 was spread to mobile phone users with the help of TCRA.

  "We are still in the process of ratifying mobile numbers in the ongoing registration exercise, so we are not in a position to answer such claims. The appropriate entity here is the Police Force and mobile phone companies," he noted.

  Dr Mfungahema noted further that until all the SIM Cards are registered, the task of censorship to communications through cell phones remains a difficult one.

  Speaking at a press conference in Dar es Salaam on Saturday, the Chadema Acting Secretary General, Mr John Mnyika, said that the message claimed that 'Dr Slaa was a dangerous man for the country.' It also said that "if elected he would lead the country into chaos and instability." Mr Mnyika said that the message was a plot by their political rivals to tarnish the image of their candidate. He, however, admitted that they had not yet reported the matter to police. He added that they were planning to do so as soon as possible.
  "We have lost confidence with police forces but as the matter of principle we will report to them anyway," he said.

  Mr Mnyika noted that spreading such messages at this time of campaigns for general elections was a thorn in the flesh for the country's peace and tranquillity. He argued that responsible authorities should take serious legal action. Mr Mnyika claimed that the number seems to be a fake one as the message recipients would neither be able to call back nor reply to the message. Many people have claimed to have received the message between Friday night and yesterday morning.

  In a recent co-statement by the Tanzania People's Defence Forces (TPDF) and Tanzania Police Force, the government warned that anybody trying to disrupt the existing peace and tranquillity during camp
  aigns, election and afterwards would not be spared  MY TAKE
  Another style being used by CCM otherwise TCRA should change their name if they have failed to know the sender what are they regulating?
   
 2. coby

  coby JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi TCRA hawajafungia namba zisizosajiriwa hadi leo si walitoa dealine, then waka revice deadline na muda ukaisha!!! Anyway bongo no Deadline!!! By the way ilipokua ishu ya "call in RED number" walitoa tamko la kufuatilia source ya ujumbe, iweje hii ikwamishwe na zoezi la usajiri?? Kweli authorities zote bongo Zimechakachuliwa!! Tutakimbilia wapi jamani
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mbaya zaidi wanataka CHADEMA waende polisi khaaaaaaaaaaaaaaaa
  CCM wamechafua hali ya hewa kwa kila taasisi Tz
  Hawajui kuwa wanajichimbia kaburi bse Dr akiingia tuu ni kuchapa mwendo wote hao
   
 4. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  just recieved an sms from +3588108226. and it reads
  ''Slaa ni mropokaji na mgomvi anatukana vyombo vya ulinzi na usalama. Anataka damu imwagikeili mradi aingie ikulu. Tumkatalie kuigeuza nchi yetu somalia''
   
 5. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  KUMEKUCHA!!!!!!!!!!!!!!!!!!NIMEIPATA message hiyo na nimeshangazwa na kauli ya TRCA.Walijibu kitaalamu kabisa kuhusu simu ya kifo leo wanawashauri CHADEMA waende polisi,ni AJABU!!!!
  Kikwete ana mvuto na inawezekana akashinda lakini kutokujiamini kwake kunaitia nchi katika misukosuko isiyokuwa na maana.2005 ameingia kwa kitendo cha kuingizwa madarakani na pesa za wizi,EPA.Sasa ataingia tena madakani kwa kutumia mbinu za kimafioso;jeshilinatishia watu,mitandao ya simu inamhujumu mpinzania wake na vyombo vya dola vinakwepa uwajibikaji.Asichekelee hii ni hatari kubwa mbele yetu
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mpaka sasa nimepokea sms nne kutoka kwenye hiyo namba.
  statement ta TCRA ina walakini ndani yake. kuna ujinga wameufanya tena kwa kushurutishwa kama siyo na taasisi fulani serikalini basi watu fulani kwenye kampeni za chama cha mauaji
  Hivi humu jukwaani hatuna vichwa vya kuisaka hiyo namba na mmiliki wake? ni namba ya nje hiyo lakini naamini inatuma sms kutoka hapa nchini.

  Wasiwasi wangu ni ule mtaa pale upanga pale. isije ikawa hao IT pipo wa chama chetu ndo wanafanya on test ya kutuma maskadi.
   
 7. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  hii sms imekaa kama threads fulani za kejeli anazo anzisha mgonjwa mmoja humu jamvini.
   
 8. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wakuu Tusikurupuke kushutumu, hivi ukipata msg ya kukutukana,kukukashifiwa au kutishiwa kuuawa utaenda kushtaki TCRA au Polisi? obvious the chain of command katika masuala hayo itaanzia polisi.
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  WANDUGU LEO ASUBUI NIMEPATA SMS TOKA +358897578, ZINZOMKASHIFU DR. SLAA, ZIMEANDIKWA HIVI; slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzina usalama wa nchi, anataka damu imwagike ili mradi ashinde. tusikubali nchi yetu iwe kama burundi.


  hii ni code namba ya SUOMI (Finland),


  Ngoja niwape clue za kiupelelezi wakulu wangu.

  nilikuwa napita sehemu fulani nikapigwa kumbo na kijana wa ccm akinitaka nichukue vocha zao for free. ambapo nilichukua mbili ambapo kuna mahala imeandikwa PATA KADI YAKO BURE ukikwangua sehemu hiyo unakuta namba za siri kisha unatuma kwa kufuata maelekezo.

  nilipofika home nikaichukua vocha moja na kuiingiza kwenye simu yangu ambayo huwa siitumii zaidi ya kuiacha home kwa mawasiliano ya kifamilia. nikapata ujumbe kwamba ccm itakuwa inanitumia updates na nimeingia kushiriki lotto yao (sijui kama wameiandikisha gamming board) ya zawadi mbalimbali. als! namba hiyo hiyo ndiyo inayopokea hizi sms za kipuuzi dhidi ya Slaa. nimekaa nimewazua kuwa why namba zangu nyingine hazipokei hiyo sms? kumbe hawa ccm wameshazimiliki zile namba mlizojiunga na vocha za bure za ccm. Najua walipanga na kujiaminisha kwamba watengeneze free vouchers na atakayejiunga amejiunga kwenye bulk sms zao na mtakoma.


  Akina miraji na timu yake wanadhani sisi watanzania ni wajinga saana. nilishasema kuwa kuna watu wanajiufunza intelejensia lakini kuna watu wamezaliwa nayo. ogopa sana unapodeal na watu waliokuchoka. Naamini kama TCRA na TISS wangelikuwa wanafanya kazi zao vyema basi hii kitu isingefanikiwa asilani.


  Nashauriana na wadau wenzangu how to react na hii chokochoko. nitaleta jibu hapa ambalo naamini tunaweza kuchangia kwa mapana zaidi.

  una lolote? changia.......
   
 10. t

  truth Member

  #10
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani tuwe objective on this issue. Kumekuwa na mzunguko wa SMS nyingi sana katika mitandao ya simu, awali zilianza kwa kumlenga mgombea wa chama tawala JK na sasa mgombea wa Chadema. Bado hii hali inaonesha hatujakomaa kifikra na hata kidemokrasia. Hata humu JF kumekuwa na baadhi ya wajumbe wanaoanzisha topic za kuwachafua wagombea. Hakuna tofauti na huo mzunguko wa SMS. Kwa hiyo tunapo address suala la SMS tusisahau posting zenye ujumbe mbovu unaofanana na huo kwa wagombea wengine hapa kwenye mtandao. That way wanasiasa watabaki kutupa mambo ya msingi ya kitaifa.
   
 11. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Tcra waulize makampuni ya cm jinsi hao akina Miraji walivyopata database zao ambazo ni siri
   
 12. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  TISS na TCRA si ndio haohao, nafikiri kuna sababu pia ya kuususia mtandao wa vodacom, uchafu wanaoufanya unahatarisha amani na demokrasia nchini
   
 13. K

  Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 1,221
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Kila kukicha malalamiko hayaishi huu ni uchaguzi kila mgombea au chama kina mikakati yake.Mchezo wa kutumia simu kupashana nani achaguliwe CHADEMA walianza sasa wenzenu wanajibu kwa makombora na nyinyi tafuteni mkakati mbadala wa kutengua hilo kombora na kuweka nyuklia.Nilisema TOKA awali Don't underestiminate CCM!Tena huyu mgombea wa CCM NI MUUNGWANA SAFARI HII AMEWAACHIA TU MUMTUKANE ,MSEME MSEMAYO LKN YEYE ANAENDELEA NA KAMPENI WALA HAJAMWAGA JESHI mtaani na wala hatujasikia watu kukamatwa na kufunguliwa kesi za kumkashifu Raisi,Pili ameonyesha ukomavu mkubwa juu ya mashambulizi anayoyapata amefocus on campaign na kutoa ahadi za nini atawafanyia wananchi na nini amefanya na hajaenda personal kwa wagombea ktk kipindi cha miezi miwili ya kampeni hadi hivi sasa .Tujenge tabia ya kukubaliana kutokukubaliana pale tunapotafoutiana misimamo.Hii forum imepoteza muelekeo kwa kila mwenye kutoa mawazo tofauti ni adui wa mageuzi na chadema,CHADEMA PIGENI KAMPENI WEKENI MIKAKATI YA USHINDI NA USHINDI UTAPATIKANA!Kejeli dharau na kwenda personal juu ya mgombea au Raisi wa Nchi yetu ni kujidharau wenyewe kwani katiba bado inamtambua kuwa ni Raisi hadi pale Raisi mwengine atakapoapishwa baada ya Uchaguzi.Tuuze sera na tukosoe utendaji wa Raisi ktk kipindi tulichompa dhamana na tusitoe nafasi kwa kejeli,matusi na dharau.Heshima ni kitu cha bure hata kama mnatofautina na mtu lkn kama anakuheshimu nawe rudisha heshima kwake na huo ndiyo Utu na Uungwana.Naomba kuwakilisha!
   
 14. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkuu kuna kitu lazima kifanyike kukomesha hizi chokochoko dhidi ya TAIFA letu maana inaonekana kwamba nchi ipo kwenye UTASHI wa kikundi fulani kinachoamua hatima yetu in very childish way
   
 15. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Ushauri mzuri sana, kama unaweza wafikishie Shimo, kinana na Makamba kwa kuwa wanafanya siasa za kimafia na ustaarabu unoadress hawana
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Nchi yenye watu milioni 40 inasumbuiliwa na genge la wahuni wasiozidi hata 10000 wanaoishi Upanga, Kisutu na Kata ya Magogoni.

  Are we serious?
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Jk mwaka huu atahanhaika sana
   
 18. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,633
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Jamani nasikitika, nimepata hii sms kutoka huko Tangu Juzi, nika kaa kimya. Jana usiku wakarudia tena.

  Nikawajibu kuwa TUNATAKA UCHAGUZI HURU NA HAKI, JWTZ WA NINI?

  NAHISI NA NAWASHUKU KUWA MAMLAKA YA MAWASILIANO YA TANZANIA INAHUSIKA (TCRA). Namba yangu wametoa wapi?
   
 19. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Mkuu hakuna kitu kinachohusu mawasiliano kinaweza kufanyika bila tcra bila wao kubariki hizi nihujuma dhidi ya nchii.
   
 20. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Mkuu pole sana, ni vocha za Kampuni gani ya simu, hii inweza kuwa mwanzo mzuri wa kufuatilia kwenye hayo makampuni
   
Loading...