Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK anakacha midahalo kwa sababu ya ratiba lakini mechi Mmmh

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Masauni, Oct 9, 2010.

 1. M

  Masauni JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli mambo yanayofanywa na Kikwete na CCM yake yanazidi kunichefua sana. Nakumbuka huyu JK kupitia kinana walisema hawawezi kushiriki midahalo kwa sababu ya ratiba yao imejaa mpaka siku ya mwisho wa kampeni. Mashabiki wa CCM walishangilia kama kawaida yao. Huyu huyu jamaa tumeona akijialika kwenye sherehe ya walimu, na sasa eti mgeni rasmi kwenye mechi ya TZ and Moroco, Je, muda umepatikana wapi. Je, kipi bora kati ya hayo na kufanyiwa 'interview' na watazania ambao unawaomba kazi tena kwa nguvu kubwa?. JK kuna uovu mkubwa sana ambao hataki uanikwe wakati wa mdahalo.Kama alivyosema mwezangu katika thread yake inakuwaje unaomba kazi, mwajiri anakwambia nikufanyie interview wewe unakataa! Kama watanzania tungekuwa serious hii nadhani ni sababu tosha yakumnyima kura. Lakini CCM inaona kila Mtanzania ni mjinga, ni mtu wa kudanganywa na kudanganyika! WATANZANIA TUSIKUBARI UPUMBAVU HUU WA KUDANGANYWA KAMA WATOTO WADOGO.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,499
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Mungu anaona kaka. Mungu siyo mwanadamu.

  Timu imelala mbele yake.
   
 3. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 888
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kudos, point kuliko maelezo
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,403
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  katutia nuksi, tungeshinda hii mechi ila yeye ndio kaharibu na ulinzi wake uio onekana ulikuwa unawasaidia wamoroco
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,088
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Rais wetu haelewi yapi ya msingi, alifikiri angetumia mechi kama jukwaa la kampeni, mh!
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,612
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  .
  Hiyo ni is.hara kwake jinsi atakavyolala kwa Doctor Slaa kwenye uchaguzi huu.
   
 7. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 593
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Jamani kilichonikera zaidi Jana ni pamoja na ccm kugawa vipeperushi vikimsifia nakumuelezea huyo mgonjwa Wa kuanguka kwamba ni mpenda michezo hivyo bac tumchague ,
  wengine tulienda kuangalia mechi sio kampeni za uchaguzi
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,240
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Sijawahi kuona rais mwenye kaki za kunguni Kama Huyu jk
   
 9. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 3,047
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
  ...which backfired.
  Nilikuwa naiangalia mechi kupitia super sport JK alivokuwa anaingia alipunga mkono, wakati huo huo a section of the crowd kwenye stands ikaonyeshwa kwenye screen. Sikuona hata mtu mmoja kupunga mkono back! Ni tofauti na mechi za nyuma za jinsi hii.
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,228
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  sasa timu imefungwa mbele yake.
  hivi nilimwona KIBONDE anamkabidhi jezi ya timu ya Morocco, hii ina maana alikuwa anaipigia chapuo Morocco ishinde au nini?.... kwa kweli ile picha ilinikera ila nikafunga bakuli langu
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,845
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Mkuu Masauni hizo sehemu anazokwenda muheshimiwa ni sehemu ya kampeni, kampeni haiishiii kwenye mikutano ya kampeni na midahalo tu
   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,799
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  juzi alikuwa kwenye birthday pale clauz fm.............akiserebuka
   
 13. K

  King kingo JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mkuu Jana alikuja uwanjani kufanya kampeni, maana tuligaiwa Vipeperushi vya kuchagua CCM na Kikwete hahahah wakati tunagaiwa tu na goli likafungwa kweli wamebanwa pabaya mwaka huu...
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,234
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Mumeshau kuwa alijiarika kule SOngea kwenye sherehe ya walimu
   
 15. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,000
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  yani ana vijishughuli viiiiingi visivyo na nyuma wala mbele
   
 16. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,604
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Ndio maana nyimbo za taifa zikapotea... Ha ha ha haaaaa... Zikapigwa kipindi cha pili kilipotaka kuanza!!! Na bora tulipigwa kamoja... Maana angeipeleka katika kampeni zake Bwa ha ha ha ha haaaaa...
   
Loading...