Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania People's Defence Force From Wikipedia, the free encyclopedia Jump to: navigation, search This article does not cite any references or sources. Please help improve this article by...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na...
0 Reactions
105 Replies
9K Views
Angalia na uamue mwenyewe: Hata mtoto huyu kafurahi kabisa na anapata kinywaji bariiiiiiidi:
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Nina rafiki yangu mmoja alitegemea kufunga ndoa mwezi huu wa 10 na mdada falni ambae ni mwanajeshi wa JW. Vikao vishakaliwa na kila kitu kilikuwa pouwa kabisa, ila juzijuzi tu yule dada kapewa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
NIMEHUDHURIA mikutano ya kampeni za awamu ya pili za mgombea urais wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa. Kwa nguvu za kampuni ya gazeti hili la Raia Mwema, nimefika katika mikutano ya Ifakara...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
The I Have a Dream Speech The following is the edited text of the spoken speech "I have a Dream" by Martin Luther King Jr, transcribed from recordings. I have related this Dream to our current...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NINGEKUWA NA NAFASI YOYOTE YA UONGOZI CCM NINGEJIUZULU Nimekuwa nikiangalia kwa makini mwenendo mzima wa Kampeni za wagombea wa urais. Nimekuwa nikifuatilia masuala ambayo yangeitwa ni mazito...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeangalia kwa muda sasa picha za Chadema kwenye mikutano yao ya kampeni. Jambo moja lililo dhahiri ni kuwa hawajajua namna ya kutumia rangi kujenga acceptance, ushirikiano, kukubalika, kupendwa...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Ingawa napenda sana Dk. SLAA awe Rais, lakini nimevumilia nimeshindwa!!Haka kamsemo ''Go Dk Slaa Goooooo.....'' huwa kananiuzi sana nikikaona. Nawakilisha.:flame::bump::A S 109::whoo::target:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa wakazi wa kusini naamanisha mikoa ya Lindi na Mtwara najua kabisa wana hamu kubwa sana ya mabadiliko. Kwa sasa mimi nipo mtwara, nilipita huko mtaani yaani hali inakatisha tamaa, hawa jamaa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
In 2005, Dr. Salim Ahmed Salim tested JK's ruthlessness......Even the then PM, the soft spoken Tluway Sumaye was left gnashing and fuming..................... In 2010, sms tied to JK are doing...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati wanachaguana wao kwa wao walikuja na Kauli Mbiu kuwa USHINDI NI LAZIMA! Hatukuwaelewa kwa sababu tushawazoea. Kwani walishawahi kusema Kasi Mpya, Nguvu Mpya na Ari Mpya na Tanzania Yenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sioni alichowahi kufanya huyu raisi anayemaliza muda wake! Amekuwa Mbunge kwa Miaka 15 Kule Chalinze, amekuwa waziri kwenye wizara nyeti, kote alikopitia ameharibu na kushiriki kuweka sahihi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
When I compare synovate and REDET you see no difference, the co- chairman of REDET is one of the advisers of Jakaya Kikwete, you don’t expect fair judgment out of the person employed by the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By KARL LYIMO Monday, October 12 2009 It sounds a crazy thing to say. But, it is becoming increasingly clear that Tanzania is creeping towards dangerous times as we head for the presidential and...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Send tonday, 10 October 2010 08:32 0diggsdigg Dk Willibrod Slaa Joyce Mmasi, Uvinza MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema Dk Willibrod Slaa jana alikumbana na wakati mgumu pale...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
wakuu haya siyo maneno yangu ni ya Mwanafalsafa Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa raisi wa kwanza wa Tanganyika huru. Swali. Katika wagombea hawa tulionao sasa hivi hasa wa uraisi, ni yupi kati...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa NEC, Rajabu Kiravu. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kuwa matokeo ya Rais yatatangazwa kwenye majimbo badala ya kusubiriwa kutangazwa na NEC... Mkurugenzi wa NEC, Rajabu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Asema wanajaribu kutumia ngazi ya maiti za watu kuingia Ikulu Asisitiza kuwa damu ikianza kumwagika wao watakimbilia Ulaya Awashutumu ‘wanaochonga' kuwa Tanzania haijapata maendeleo tangu...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Synovate wametoa na wao matokeo ya "opinion poll" waliyofanya kuhusu wagombea wa uraisi 2010. Magazeti mengi yameandika kwa "headings" zinazoashiria kwamba matokeo hayo ni "conclusive". Ila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom