Kikwete ni rais wa kwanza duniani kufanya mambo haya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ni rais wa kwanza duniani kufanya mambo haya!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ndibalema, Sep 29, 2010.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake
  2.Rais wa kwanza kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi
  3.Rais wa kwanza duniani kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaini
  4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu wake unatokana na nini.
  5. Rais wa kwanza duniani kuchakachuliwa mafuta kwenye gari yake ikazima barabarani
  6. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha bora!

  7. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu)
  8. Rais wa kwanza aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni kiherehere chao....
  9. Rais wa kwanza anayeogopa mafisadi.
  10.Rais wa kwanza duniani aliyetumia mabango yote ya biashara nchini kwake kujinadi wakati wa kampeni mpaka picha za kampeni


  Swali langu: Kuna ukweli juu ya haya yote au wanampakazia tu mkuu wetu?

  Kuna mengine specific ambayo hayajafanywa na rais mwingine yeyote duniani zaidi ya JK?
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,748
  Trophy Points: 280
  9. Rais wa kwanza anayeogopa mafisadi.

  Hili lirekebishwe. Ni kipenzi cha mafisadiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  * Rais wa kwanza duniani kucheza kiduku!
  *Rais wa kwanza kutolewa kwenye zeutamu site!
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  umesahau moja,raisi wa kwanza duniani kuwatukana wafanyakazi wa serikali ambao ndio nguzo kuu ya pato la taifa kupitia kodi wanazokatwa kwenye mshahara
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Wandugu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya uchaguzi. Plz mchango wenu utanisaidia kumjibu.

  1. Ni rais gani duniani anayeamini kwamba kukaa madarakani miaka mitano ni kujifunza ili baadaye ukipewa fursa ya miaka mingine tena aweze kuwa mfanisi?

  2.Rais wa kwanza Duniani kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi ni.....

  3.Ni Rais gani duniani anaye amini kwamba suala la urais ni la kifamilia zaidi na siyo la kitaifa?

  4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu
  wake unatokana na nini, ni................


  5. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha
  bora! ni.............

  6. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu) ni..........

  7. Rais wa kwanza Duniani aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni
  kiherehere chao ni...........

  8. Rais wa kwanza anayeogopa kuwaburuza mahakamani mafisadi ila ana uwezo mkubwa wa kumuwekea fitina mwizi wa mke wa mtu ni.........

  9.Rais wa kwanza duniani aliyetumia 60% ya mabango yote ya biashara nchini
  kwake kujinadi wakati wa kampeni ni..........

  10. Ni Rais gani Duniani ambaye kwa mtazamo wake anahisi kafanya kazi kubwa nchini kwake kiasi cha kujisikia fahari kubwa kumuandaa mwanaye ili naye siku moja afuate nyayo zake...............

  11. Rais wa kwanza Africa kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake ni........

  12. Rais wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaini ni..............

  13. Ni rais gani duniani ambaye akiwa madarakani ndani ya miaka mitatu kaoa mabint wawili wenye umri sawa na wanawe, lakini hapendi ifahamike japo dini yake ina mruhusu?

  14. Ni rahisi gani Duniani ambaye anaamini katika utawala wa sheria na amesaini sheria ya uchaguzi wa Taifa lake, kwa bahati mbaya amekuwa wa kwanza kuzikiuka?
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,748
  Trophy Points: 280
  nI DOKTA JAKAYA MRISHO KHALFANIIIIIIIIIII KIKWETE
   
 7. t

  truth Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na unafikiri watanzania ni wajinga kiasi hicho kuamini upuuzi huo?
   
 8. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hilo jibu lako ni kwa swali namba ngapi? maana pana maswali 14 hapo.
   
 9. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  majibu kama ifuatavyo . J.............................,jibu moja linawakilisha yote
   
 10. t

  truth Member

  #10
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Energy used to prepare these writtings could be used to produce enough funds to send at least one kid to school. You are no different than FISADI's wasting lots of resources for no good reason.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Mi nimekosa maswali yoooooote.
  Hizo sifa anazo yule jamaa wa bagamoyo aliyekuwa anajiita boyz ii men
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280


  1. Ni rais gani duniani anayeamini kwamba kukaa madarakani miaka mitano ni kujifunza ili baadaye ukipewa fursa ya miaka mingine tena aweze kuwa mfanisi? KIKWETE

  2.Rais wa kwanza Duniani kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi ni..... KIWETE

  3.Ni Rais gani duniani anaye amini kwamba suala la urais ni la kifamilia zaidi na siyo la kitaifa? KIKWETE NA KIM JONG IL

  4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu
  wake unatokana na nini, ni................KIKWETE PEKEE


  5. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha
  bora! ni.............KIKWETE

  6. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu) ni.......... KIKWETE

  7. Rais wa kwanza Duniani aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni
  kiherehere chao ni...........KIKWETE

  8. Rais wa kwanza anayeogopa kuwaburuza mahakamani mafisadi ila ana uwezo mkubwa wa kumuwekea fitina mwizi wa mke wa mtu (rekebisha usemi wako. Shemeji alimkimbia jamaa baada ya kuona yu functionless) ni.........KIKWETE

  9.Rais wa kwanza duniani aliyetumia 60% ya mabango yote ya biashara nchini
  kwake kujinadi wakati wa kampeni ni..........KIKWETE

  10. Ni Rais gani Duniani ambaye kwa mtazamo wake anahisi kafanya kazi kubwa nchini kwake kiasi cha kujisikia fahari kubwa kumuandaa mwanaye ili naye siku moja afuate nyayo zake...............KIKWETE

  11. Rais wa kwanza Africa kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake ni........
  KIKWETE

  12. Rais wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaini ni..............

  >>>KIKWETE (ALIKUWA AKIENDA KUCHEZA NGOMA WAKATI WA MAPOKEZI UWANJA WA NDEGE)

  13. Ni rais gani duniani ambaye akiwa madarakani ndani ya miaka mitatu kaoa mabint wawili wenye umri sawa na wanawe, lakini hapendi ifahamike japo dini yake ina mruhusu? >>>ha! ha! ha! Jibu lake niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii........................

  14. Ni raisi gani Duniani ambaye anaamini katika utawala wa sheria na amesaini sheria ya uchaguzi wa Taifa lake, kwa bahati mbaya amekuwa wa kwanza kuzikiuka?
  >>>KIKWETE (Bingwa wa kuluzi memore. alishawahi kushikishwa mfano wa hundi yenye thamani tofauti kati ya tarakimu na maneno na alikuwa akichekelea kama kawaida yake)
   
 13. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Safari hii mmeamua kula naye sahani moja huyu ndugu yangu kipenzi cha akina dada, tehe tehe.... :becky:
   
 14. M

  Myamba Senior Member

  #14
  Sep 29, 2010
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yoteeeeeeeeeeee.
   
 15. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo na wewe umepoteza kiasi gani kwa kusoma hayo pia wewe ni Fisadi tena mkubwa saana!
   
 16. Profesy

  Profesy Verified User

  #16
  Sep 29, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wa kwanza kukataa kura za wafanyakazi.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kweli ukistaajabu ya musa, utayaona ya firauni
   
 18. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JIBu SWALI WOTE TUNAJUA KIZUNGU; KAMA HUJUI KAMA YEYE WAULIZE WANAOJUA KAMA ALIVYOFANYA
   
 19. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  15. Ni rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba si vyema kuwaandama marais waliomtangulia kuhusu ufisadi waliofanya wakati wakiwa madarakani kwani kwa kufanya hivyo kunaweza kuwafanya baadhi yao wasiwe wanaachia madaraka kwa urahisi mihula yao inapomalizika!

  (Ikulu Press Conference June 7, 2006).
   
 20. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ni rais pekee DUNIANI aliepokea pesa za umma zilizoibiwa bila kukwashitaki wezi...! SHAME..!
   
Loading...