Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Chadema zingitieni yafuatayo muda huu wa kuelekea kupiga kura.
1. Ongezeni juhusi zaidi za kampeni na kujibu siasa zote za maji taka
2. Andaeni mikakati ya kulinda kura ili zisichakachuliwe
3. Wekeni kumbukumbu za video za kampeni za Dr. Slaa na CCM ili kujiandaa dhidi ya wizi wa
kura wa CCM
4. Dr. slaa kila upatapo nafasi hudhuria majumuiko mbalimbali huku ukizingatia hali ya
usalama wako
5. Toa pongezi kwa shughuli mbalimbali za vijana, watoto, wazee, wafanyakazi, wanawake, n.k.