Kama sio dr. Willbroad slaa kutukomboa ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama sio dr. Willbroad slaa kutukomboa ni nani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Dezidel, Oct 10, 2010.

 1. D

  Dezidel Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TAFAKARI CHUKUA HATUA.
  Je hali inayoelezwa hapo chini ni kweli?. Kuna kitu muhimu kimeachwa hapo chini ambacho kinaathiri maisha ya mtanzania ambaye vitu vingi vinatoka nje, nacho ni kushuka kwa thamani ya shilingi ya kitanzania (kwa sasa 1$=1500). Tukitathimini hiyo ,sijui kelele za kuwa watanzania wana maisha bora sasa kuliko JK alipo ingia madarakani itakubalika?. Mbaya zaidi tumeamua kuingiza siasa mpaka kwenye utoaji wa takwimu ikiwemo REDET ile ya wasanii. Angalieni takwimu za mfumuko
  wa bei zilizo toka!!
  KIONGOZI BENJAMIN WILLIAM MKAPA Vs JAKAYA MRISHO KIKWETE
  MWAKA 2000 - 2004 Vs 2005 - 2009
  Unga 460 Vs 1000 = 217%
  Mchele 600 Vs 1200 = 200%
  Sukari 760/kg Vs 1600/kg = 210%
  Mkate 250 Vs 700 = 280%
  Maharagwe 360/kg Vs 1000/kg = 277%
  Mafuta ya taa 450/lt Vs 1050 = 233%
  Mafuta ya uto 178/lt Vs 720/lt = 404%
  Nazi 100 Vs 550 = 550%
  Mchicha/tembele 50 Vs 150 = 300%
  Bia sh 800 vs 1500.
  Unalipwa 100,000/-kwa mwezi kwa jedwali la hapo juu kila siku lazima
  ununue unga robo 400, mchele nusu 300, uto kibaba 125, mafuta taa
  kipimo 300, sabuni nusu kipande 50, sukari robo 400, maharagwe robo
  250, mkaa nusu kisado 300, nauli go & return 500, maji ya kunywa 500, hapo ni bachalor kwa siku ni 3,125 mara 30 = 93,750 kwa mwezi. Okay kodi kwa mwezi 20,000/- umeme 6000 kwa mwezi =total kwa mwezi ni 120,000/- je hiyo 20,000/- ziada katoa wapi????? ndo hizo mwisho wa siku zina wapeleka jela au kuwanaachishwa kazi. Je maisha bora hapo atoe wapi? Na je angekuwa na mtoto wa shule au watoto wawili? hapo hajaumwa, hajatembelewa na mgeni akamnunulia soda, hajanunua nguo nyingine!!!! Huyu mnaempigia kura hayajui hayo na hatambui kama una familia kijijini pia. wao wanatibiwa na serikali, mafuta ya magari kwao ni sawa na kumuuliza bibi akupigie story ya sungura. wenzie wakitaka ongezo la mshahara wanajadiliwa in 2Hrs jibu tayari ila
  waalimu na wenzao.........! 3 years.
  Yeye huyu JeyKey na hao wapambe wake na hao wanajipendekeza kama Shigongo waulizeni watoto zao ni akinani? utaambiwa mbunge, mara yuko BOT mara yule wa mwisho yuko ulaya kamtembelea shangazi yake, mara yuko busy na tenda ya kusuply komputa Wizarani. Wewe je unae mpigia kura tupe wasifu wako hata hao watoto wako na wategemezi wako. Hata baiskeli kule kijijini huna wala wazazi wako ndo unakesha kuwaombea wasiumwe kwa kuwa gharama za hospitali zitakuwa zako.
  Muulize kesi za mafisadi vipi? Na je wanampango gani? utaambiwa yuko busy na harakati ya kutafuta ulaji kwa mara ya pili.
  Basil Mramba na Rostam Azizi anawapigia kampain majimboni mwao hao mafisadi.
  Hao wapambe wake na mawaziri wanaendesha magari gani utaambiwa aah wana tano tano kila wizara VBV8, uliza bei zake kila moja, inatumia
  mafuta kiasi gani kwa mwezi, na majukumu yake ni yapi? Na je
  zinakoenda akina RAV4, Suzuki, BMW ndogondogo hawafiki? Utaambiwa
  wanawahi kuwasilisha agenda. KWEEELI?
  Na je hizo gharama za uendeshaji fedha zinatoka wapi? Utajibiwa kwenye mfuko wa serikali. Waulize serikali ina miradi gani ya kuweza
  kuendesha hayo magari tu achana na posho zao na mengineyo? Jibu ni
  KODI ZENU wananchi waungwana tulio na amani na utulivu kwetu. KWEELI kwa mshahara wa laki mbili zangu/zako?
  FUNGUENI MACHO NA AKILI ZENU WAUNGWANA. Wenzenu Zenji wameshaliona hili wameamua kujicholea MIPAKA yao Mapema.
  MTAENDELEA KUZUBAISHWA NA STORI ZA KUTUNGA NA UDAKU NA KUSHANGILIA MISAFARA MIREFU YA KAMPENI INAYOUNDWA NA KODI ZENU MPAKA LINI?.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hakuna mwingine wa kutukomboa -- ni yeye tu. Watanzania amkeni!!!!!!!
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  dr slaa our serviour forever
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Alafu mbaya ziadi Jey Key ni mchumiy professional ingawa aliambulia PASS ila ata mwandishi wa habari Mkapa amemshinda kuongoza nchi kwa uchumi mairi
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nasikitika kusema kwamba Watz wengi wamekubal kunyofolewa macho, kukatwa masikio na kushonwa midomo na utawala wa miongo 5 ya CCM! Inasikitisha, inakera.
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  mimi nadhani muda wa mabadiliko umefika
   
 7. BabaH

  BabaH JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mchumi wapi huyu, pumba tu, angekuwa wa Kike tungesema Degree za Chupi, sasa huyu sijui ni degree gani hii
  maana uwezo wake hauonyeshi kama alipita masomo ya degree huyu jamaa
   
 8. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni mchanganuo halisi unaoakisi hali ngumu ya maisha inayomkabili mwananchi wa kawaida. Yote yameletwa na serikali ya Kikwete. Ni muhimu wananchi kuelewa kwamba muda wa mabadiliko ni sasa, hatuwezi kuongeza miaka 5 zaidi ya kuendelea kupigika!
  Tumchague Dr. Slaa kutuletea mabadiliko ya matumaini kwa maisha yetu kuanzia sasa na baadae.
   
 9. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hivi Kikwete baada ya kumaliza digrii yake alienda wapi? first appoitment after uni?
   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  source: wikipedia

  Graduating with a degree in economics in 1975, he opted for a low-paying job as an executive functionary/officer of the ruling Party (TANU later CCM). This gave him the opportunity to work at the grassroots in rural regions and districts of Tanzania.
  Kikwete sharpened his leadership acumen in the military. He first had basic military training at Ruvu National Service Camp (1972) and later underwent a basic officers course at the famous Tanzania Military Academy at Monduli, Arusha. This is Tanzania's top military training institution. On successful completion of the course, he was commissioned as a lieutenant in 1976. He also undertook Company Commander's Course in 1983 at the same academy. In his military career, he rose to the rank of Lieutenant-Colonel. From 1984 to 1986, Kikwete was Chief Political Instructor and Political Commissar at the Military Academy. He retired from the military as a lieutenant-colonel when political pluralism was reintroduced to Tanzania in 1992 when he chose to become a full time politician. Prior to that, he was permitted to be both in the military and political leadership.
   
Loading...