Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna taarifa kwamba Baraza la Mawaziri limekutana leo kwa mara ya kwanza. Tusubiri tuone yatakayojiri. ------- UPDATE: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI RAIS Jakaya Mrisho Kikwete leo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimeandika thread yangu nikinungukia semina elekezi, pamoja na kichwa cha thread hiyo kuonyeshwa chini ya jina langu lakini maelezo yaliyopo ni ya mtu mwingine nayo yanahusu baraza la mawaziri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilifuatilia kwa makini saana mdahalo ulowakutanisha mbunge wa wawi mh hamad rashid kiongozi wa kambi ya upinzani isiyo rasmi na mbunge wa hai mh freeman mbowe ambaya ni kiongozi wa kambi ya...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Napenda kuwasilisha maoni yangu kwa wabunge Wote hasa wa CCM sababu sera ya kilimo kwanza ni ya CCM. Katika majimbo yenye ardhi za kilimo Tunataka tusikie idaidi ya wabunge waliokopa matretka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo hasubuhi clouds kipindi cha magazeti nimesikia waziri wazamani wa mambo ya ndani ameenda ofisini kwa mbunge wa mwanza nymagana na kung`oa vitasa na kubeba picha ya rais kwa madai kuwa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu, Hatimaye jeshi la polisi nchini limeruhusu chadema kufanya mikutano, kama walivyoomba awali. Chanzo cha habari: Gazeti la Majira la tarehe 30 Novemba 2010.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi mwenyewe nikiwa ni mwandishi wa habari, nimeshtushwa, nimeshangaa na kupigwa butwaa na kitendo cha gazeti la Tanzania Daima, ambalo linamilikiwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Kama kuna kitu wana-CHADEMA ikiwa ni pamoja na wananchi wengine (labda na serikali ya JK) wamekingoja kwa hamu zote ni taarifa ya nini kimetokea wakati wa uchaguzi hata kumtangaza Kikwete kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inasemekana madiwani wengi wa chama tawala mkoani mara wameamua kurejesha kadi zao za uanachama kwa kile kiitwacho maamuzi mazito kufuatia wabunge wa mkoa huo kupitia chama tawala kutokubalika kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Makanyagio wilayani Mpanda mkoani Katavi, Chifu Mlela Mallac, amejiuzulu nafasi hiyo kwa kile kinachoelezwa kwamba amekuwa akizongwa mara kwa mara...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mambo ambayo Chadema wangeyafanya ni pamoja na kufuta hiki cheo cha wakuu wa wilaya ili kubana matumizi. Hata wale ambao hawapendi Chadema (Ushabiki Pembeni), Jambo hili naona lina manufaa na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakitu-Pressure sana Chadema Serekali ya Mapinduzi ya Watu wa Zanzibar(SMZ)itatumia Katiba yake ya Nchi kuitisha kura ya maoni kuhusu Muungano. Ikiwa Chadema wanajifanya Ukoloni mambo leo basi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi naanza kuona udhaifu wa CCM. Kama enzi zile za Mrema alipowapa taabu majimbo ya Kilimanjaro. Sehemu zote ambako wameanguka sasa hawaoni kama ni uamuzi wa wapiga kura, bali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF naomba niwaletee historia fupi ya Dr. Slaa na Chadema katika wilaya ya karatu tangu 1995 hadi leo hii. Kwanza kabisa Karatu ni sehemu mambayo imekuwa na historia ya kipekee...
0 Reactions
36 Replies
15K Views
Serikali ya shirikisho la wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma (UDOSO) imekanusha taarifa iliyotolewa na msemaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma na waziri wa sheria na katiba wa chuo kikuu cha...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Polisi yaruhusu mikutano CHADEMA. Na Tumaini Makene. SIKU moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kulilalamikia Jeshi la Polisi juu ya kutoa amri ya kuzuia mikutano yake...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Si vibaya ukamfahamu mheshimiwa rais wetu watanzania
0 Reactions
1 Replies
5K Views
HALI ya wasiwasi imezidi kutanda miongoni mwa watu wa Wilaya ya Tandahimba, yakiwa ni matokeo ya makovu ya uchaguzi wa ubunge, yaliyompa ushindi mgombea wa CCM.Hata hivyo ushindi huo ulipingwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
BAADHI ya vigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), hasa wenye maslahi na nafasi kadhaa za uteuzi, wanadai kwamba Rais Jakaya Kikwete anakosa uamuzi katika kuteua wakuu wa mikoa, baadhi yao wanadai...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Taarifa ya habari ya saa moja jioni ya leo ya TBC1, Waziri wa Miundo mbinu Dr. Magufuli amesambaza Ilani ya uchaguzi za CCM kwa watendaji Wizarani kwake katika hali inayoonyesha anachapa siasa...
0 Reactions
76 Replies
9K Views
Back
Top Bottom