LUKAZA
Senior Member
- Nov 30, 2010
- 140
- 70
Wakitu-Pressure sana Chadema Serekali ya Mapinduzi ya Watu wa Zanzibar(SMZ)itatumia Katiba yake ya Nchi kuitisha kura ya maoni kuhusu Muungano.
Ikiwa Chadema wanajifanya Ukoloni mambo leo basi Wzanzibar hatuko tayari kwa hilo tuko timamu na mitego yao.
Lengo la Chadema nikuvunja Muungano kwa technic ya kutaka kuwatowa muhanga CUF, Haiingii akilini Chadema kuwasakama CUF kwa mabadiliko ya katiba ya Zanzibar kifungu cha 10 na kutaka maelezo zaidi kwa Chama cha Wananchi CUF na Sio Baraza la Uwakilishi la (SMZ) .
Jee Chadema wamesahau kuwa Zanzibar ni Nchi na ina Katiba yake na Sheria zake za Nchi bila kuingiliwa na sehemu nyingine yoyote? Kama SMZ wamevunja Katiba ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yupi alio anza kuvunja mwanzo halafu Zanzibar asulubiwe yeye wa hili?.
Mumesahau Watanganyika mulipo vunja mkataba mama (Aticle of Unioni) Tanganyika na Zanzibar kwa kuitisha Bunge lenu la Tanganyika bila kuwashirikisha Wzanzibar na kuiuwa Tanganyika yenu?.
Tanganyika ni kifoo chakujitakia wenyewe, na Kwa vile Tanganyika imekufa vipi sisi Wzanzibar tulinde Muungano na tudumishe Muungano ambao mshirika moja wa Muungano yani Tanganyika kavunja mikataba na makubaliano ya Muungano?.
Wzanzibar siwapumbavu wa kupepea Mwiku au kuishi na Maiti, Hili wanalifahamu fika Chadema lakini wametawaliwa na Utanganyika wao kufumbia masho hakiza Wzanzibar ndio ukawaona hivi sasa wanaanza kuazirika na kujibainisha unafiki wao na ubaya wao kuwa suala la kutawaliwa kimabavu Zanzibar niletu pamoja Wtanganyika.
Musijidanganye Chadema mukahisi Wzanzibar wako radhi na mfumo huu wa Muungano, Muungano usio na ridhaa ya Wananchi wenyewe sio Muungano na Prof Shevi wa Chuo kikuu amesa mara nyingi Muungano huu ni wakisiasa zaidi kuliko ridha za walioungana na unapendwa zaidi Bara kuliko Zanzibar ,kuishi kwa Muungano Zanzibar ni kuweko kwa Chama cha ccm.
Wzanzibar tunaushukulia Muungano huu ni mzigo mzito tulio bebeshwa kwa nguvu bila tidhaa yetu na umeona uchaguzi ulio pita tulivyo mwagiwa Jeshi kutoka Tanganyika kuja kulinda Kolonilao, Vipi leo Zanzibar ilikuwa na utulivu mkubwa na kama ni hali ya hatari na kauli za umwagaji damu ilikuwa ni bara sio Zanzibar na nyiyi Chadema ndio mulio towa kauli za vitisho. Lakini tulimiminiwa Jeshi sisi Zanzibar na kukaa ktk zile sehemu nyeti Bandari,Tv,ikulu,Air port na kuwema Manuari yenu ya kijesh nje ya Zanzibar whay? huku ndiokutawaliwa kijeshi.
Kwa hio Chadema kama munataka haki itendeke kwanza mujuwe haki za Zanzibar ktk Muungano na lapili mgomvi wenu awe ni Chama tawala CCM sio CUF musiwe mwenye sura ya unafiki panapo jitokeza haki za Zanzibar kulindwa mukaingiwa na ukirikimbwa wa Utanganyika musigeuke Mh Pinda mkoloni mweusi haki ni haki daini Tanganyika yenu ilioungana na Zanzibar ukapatikana huo Muungano,
Hatuwezi kuza utaifa wetu Wzanzibar ktk mdomo wa Muungano kama Tanganyika haipo na kujuwa kipi cha Muungano na kipi sio cha Muungano mukiweza kufanya hevyohaki itatendeka no metter kuwa Muungano haukufuata vigezo na ridhaa za wananchi lakini tunaweza kuendelea nao bila ya hivyo itakuwa Zulma na Wazanzibar hatuko tayari kuendeshwa mkenge wa kuuza utaifa wetu.
Zanzibar ni nchi hata kama ina watu kidogo ukilinganicha na mikowa ya Bara lakini ni Nchi na ina historia yake miaka 200 na haiwezi kufutika aukuruhusu kufutwa historia yetu hii ni kwa faida ya kizazi shetu cha badae.
Wala hatuko tayari kujisulubu kwa jina la Muungano kuitwa Wtanzania wa mkoa wa Pwani yaguju. Mungu ibariki Zanzibar na Wazanzibar wote.
Watanganyika wakisherehekea uhuru wao kamili 1961.