Byendangwero
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 871
- 56
Nimeandika thread yangu nikinungukia semina elekezi, pamoja na kichwa cha thread hiyo kuonyeshwa chini ya jina langu lakini maelezo yaliyopo ni ya mtu mwingine nayo yanahusu baraza la mawaziri. Sasa nieleweje, hata JF tayari tumekwisha ambukizwa hiki kirusi cha kuchakachua.