VoiceOfReason
Joined
Likes
59

Profile posts Latest activity Postings About

 • AshaDii
  VOR hi..

  Ile post the way umenijibu inatakiwa nijibu kwa urefu saana, na pia kuna issue nyingine ya kusema all the facts point out from my first post... so that you get where am coming from - will come to it back later for kazi kidogo imnibana hapa...

  Pamoja Saaana
  ADI
  MIUNDOMBINU
  Pole kwa kazi mkuu. Voice of Reason.
  Ni mkuu mimi naitwa Mr Mark aka Miundombinu.Niko k'koo Dsm, ni mjasiriamali, nauza vifaa vya muziki na filamu nk.

  Mkuu naomba unisaidi jambo hili, nifahamishe mlolongo uliopo kwa mtu anataka kuagiza bidhaa toka china kuja TZ.hasa jinsi ya kufanya malipo kwa supplier, usafirishaji wa mzigo toka china, na gharama za ushuru wa forodha nk.

  Mkuu mimi bado sina uzoefu katika eneo hili, kwani mara nyingi bidhaa huwa ninanunulia hapa dar kwenye maduka ya wahindi. Sasa nimeijipanga iliniweze kuagiza mwenyewe.

  Mkuu naamini utanisaidia katika hili. Mungu akubariki. asante

 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…