Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,938
- 1,429
Napenda kuwasilisha maoni yangu kwa wabunge Wote hasa wa CCM sababu sera ya kilimo kwanza ni ya CCM. Katika majimbo yenye ardhi za kilimo
Ni wakatai wa kuhubiri siasa na kuuuuiishi siasa tunayo hubiri. Otheriwise uti wa mgongo utazidi kupinda
Nawasilisha kwa mjadala.
- Tunataka tusikie idaidi ya wabunge waliokopa matretka
- Tunataka tusikie wakati wa msimu wa kuuza pamba, mahindi etc kahawa wabunge wana Kg japo chache za kuuza
- Tunataka kuona wabunge wanakuwa mfano na mashamba au vijishamb vya mfano
- Tuntaka kuona wabunge wanawekeza majimboni mwao badala ya kuwekeza dar-es-salaaam
Ni wakatai wa kuhubiri siasa na kuuuuiishi siasa tunayo hubiri. Otheriwise uti wa mgongo utazidi kupinda
Nawasilisha kwa mjadala.