Hatimaye Jeshi la Polisi Limeruhusu Mikutano ya Chadema Maeneo yote Nchini


Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,995
Likes
476
Points
180

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,995 476 180
Nilijua wamechemka! Lissu aliwasomea katiba aibu tupu! Operations start from the roots.
 

kaburunye

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
675
Likes
8
Points
0

kaburunye

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
675 8 0
Wakuu,
Hatimaye jeshi la polisi nchini limeruhusu chadema kufanya mikutano, kama walivyoomba awali.

Chanzo cha habari: Gazeti la Majira la tarehe 30 Novemba 2010.
Ee bwana ee. Kwa hiyo wameamua kupuuzia zile "taarifa za kiitelegensia"? Hii nchi inavituko!! Kuna siku tutaambiwa tusitoke majumbani kwa sababu "taarifa za kiitelegensia" zinaonyesha hakuna usalama. Vituko juu ya vituko
 

Mwanajamii

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Messages
7,080
Likes
16
Points
0

Mwanajamii

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2008
7,080 16 0
Naona Polisi na chadema walikuwa hawajaelewana ndio maana kukatokea mvutano. Bravo jeshi la polisi kwa kuwaonyesha njia ya waliotaka kuwapaka matope
 

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
11,856
Likes
5,910
Points
280

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
11,856 5,910 280
Operation ya safari hii ni ya ELIMU BURE, AFYA BURE, MAKAZI BORA na KATIBA MPYA.

peoples power!!!!!!!!!!!!!!

Exactly, hii safi, yaani lazima iwe na agenda hii, ushindi lazima, walibana wameachia siku moja tu baada ya tundu Lissu na Mabere marando kusema watamshitaki yeyote atakaye julikana aliye zuia wabunge wasifanye mikutano majimboni, Good job, peoplezzzzzzzzzzz powerrrr..!!!!!!!
 

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
7,614
Likes
225
Points
160

Mwiba

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
7,614 225 160
Ni baada ya Slaa kupigia magoti utawala wa JK ,wacheni kujikurupusha ,ukweli ndio huo ,Vile CUF waliwekea ngumu utawala wa Salmini kwa miaka mingapi ? Na utawala wa Karume kwa miaka mingapi ?

Chadema wacheni hizo ,eti sasa mnatumiwa na CCM baada ya wao CCM kushindwa kuizuia serikali ya umoja wa kitaifa !!!
 

Forum statistics

Threads 1,204,910
Members 457,584
Posts 28,175,346