Mpevu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,803
- 175
Inasemekana madiwani wengi wa chama tawala mkoani mara wameamua kurejesha kadi zao za uanachama kwa kile kiitwacho maamuzi mazito kufuatia wabunge wa mkoa huo kupitia chama tawala kutokubalika kwa wananchi, hii ikiwa ni salaam nzito kwa chama tawala ukizingatia ndio siku za kuunda Halmashauri kwa kuwachagua ma-MEYA na wenyeviti wa halmashauri. Hakuna utulivu kufuatia sakata hili la madiwani wa chama tawala huko Mara.