Pombe ni bonge la waziri.
Mandela Road panachimbika.
Inapigwa lami kama ile ya Nyerere Road wanakopita mafisadi na misafara.
Sambamba na hilo, nguzo za taa mpya za barabarani (kama zile za...
Kuna mambo mengi sana yanayowachefua Watanzania sasa. Harakati zilizoendeshwa ili kutusaidia kupata uhuru zililenga kumkomboa Mtanganyika kuondokana na umaskini, ujinga na maradhi.
Leo hii...
Kwa wale waliobahatika kununua gazeti la Tanzania daima la leo Jpili tar
19 dec-2010. Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya siasa hasa za chama cha Chadema,
ukifungua ukurasa wa 12 [jahazi la Jpili]...
Dr Slaa, Tundu Lissu, Marando, Mnyika, Mdee, nyie ni viongozi wetu, na wananchi wengi
sana country wide depend on you, u r public voice, sauti ya wanyonge, sasa hadi sasa sijasikia mkipinga...
19th December 10
Constitution has no religion or political party-it belongs to all of us
Prof Chris Maina Peter
The cry for a need of a new Constitution in the United Republic of...
High Speed Trains (Je ni kweli tunahitaji flyovers kwa watu wa mijini wachache au tuinvest kwenye Train zenye Kasi kwa manufaa ya nchi nzima?) (abiria na mzigo ili kuleta ufanisi katika usafiri na...
President Kikwete and Ambassador Carlton Masters re-open Mount Meru Hotel
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete cuts the tape to officially re-open Mount Meru Hotel in Arusha yesterday evening...
Jamani Moderators, Shikamooni,
Kwa kweli pamoja na suala la katiba kuwa na jukwaa lake lakini bado kuna thread nyigi sana zimeanzishwa hapa na zinafanana sana. Hivi kweli haziwezi kuungwa pamoja...
Ndugu Maggid,
Ulikuwa unatuletea kisa cha mauaji ya mkuu wa mkoa wa Iringa miaka ya sabini Dk.Klerruu mara ghafla jiii, vipi umeambiwa inahatarisha usalama wa nchi?. Kama vipi endelea basi.
Nilikuwa miongoni wa waliolaumu uamuzi wale wabunge waCDM kususa hotuba, Niliainisha kwenye moja ya posting zangu kuwa (hapa nanukuu) Madai ya KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI NI YA MSINGI...
Umoja wa makanisa ya kikristo imetoa tathimini ya uchaguzi mkuu na kusema kuwa lazima katiba iandikwe upya.huu ni mwendelezo wa moto unaowaka chini kwa chini wa kudai katiba mpya,hongera sana cct...
Mjadala wa katiba mpya unaendelea na unapata waelewaji wengi kadiri siku zinavyokwenda.
Lakini kadiri unavyoendelea ndivyo unavyodizi kufunika mambo mengine ambayo pia ni ya msingi na...
'MANDUMILAKUWILI' TAMBUENI TANZANIA KUMEKUCHA!!!
Kweli nakubali, huu ni uchambuzi MAKINI SANA na wenye kuchokoza zaidi FIKRA za kiundani zaidi za kila mmoja wetu.
Na hata kwa MANDUMILAKUWILI...
Baada ya uchaguzi wa mwaka huu Chama Cha Chadema kimetokea kuwa chama mashuhuri kati ya vyama vya upinzani dhidi ya CCM. Si ajabu kuona kuna mikakati ya kukisambaratisha.
Tunahitaji chama...
Kutokana na msongamano wa magari ulivyo Dar es Salaam na utendaji wa Serikali ulivyo, hali ya foleni hapa Dar haitakaa iwe na nafuu yoyote ile. Yangu macho. Wakiweza kumaliza tatizo la foleni...
Baada ya ndugu Pinda kukubali kuwa kuna umuhimu wa katiba mpya ila bado hajajua kama mabadiliko yanayoitajika ni makubwa au madogo swali langu ndugu zangu je tutahakikisha vipi kwamba viraka hivyo...
Udini unaweza kutafsiriwa tofatuti Tanzania
Kwa Waisalamu: Udini Ni ile hali ya Serikali kuewapendelea wakristo katika nyanja za Uongozi, Huduma za kijamii, na Fursa za kiuchumi, ilihali...
JAMANI WANAJAMVI NILIKUWA NAPITIA KITABU CHA NYERERE CHA UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA NIMEONA NI VEMA NINUKUU
"...Nilisema awali kwamba kansa ya uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.