Kwa Pombe Mkapa Anatisha

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Pombe ni bonge la waziri.

Mandela Road panachimbika.

Inapigwa lami kama ile ya Nyerere Road wanakopita mafisadi na misafara.

Sambamba na hilo, nguzo za taa mpya za barabarani (kama zile za Sam Nujoma zinasimikwa).

Kubwa zaidi junction ya Tabata na Mandela Road inapigwa taa za kuongozea magari.

Pombe anatisha.

Hii si credit kwa CCM. (CCM majungu tu. Bila Mkapa Pombe na Dr. Mwakyembe wasingepewa wizara moja. Au Mwakyembe asingekuwa NW.)

Ni credit kwa Pombe mwenyewe, na credit kwa Mzee wa 'Kokoto'. Aliyemteua Pombe kuwa waziri wa ujenzi.

Mkwere alikuwa na baraza lake la kupongezana, mzee wa Kokoto akalipangua.
 
mkuu mzee wakokoto ni nani na kwanini aitwe hivyo??
 
mkuu mzee wakokoto ni nani na kwanini aitwe hivyo??

Rejea ya Lipumba(Prof.) kujinasibu kuwa yeye ni Mlima Kilimamnjaro. Slaa (PhD) ni kichuguu.

hapo ndiyo hadith ya Kokoto ilipoanzia.

need more, son?
 
Yaani tukizungumzia maendeleao ya barabara,tunamzungumzia magufuli yaani jamaa ni mchapa kazi sana,kila wizara unayopelekwa unang'ara,nyota yako haifichiki,baba ningekuwa ninateua nani agombee urais mwaka 2015 ningekuteua na kura ushindi wa chama cha ccm ungekuwa asilimia 90
 
Hata sasa hivi kamrudisha ujenzi kwa kulazimishwa na washauri wake...Vinginevyo angeendelea na washikaji zake akina Ngeleja.
 
Hili la mzee wa kokoto kupanga baraza la mawaziri la mkwere liko hewani siku nyingi na linaonekana kuwa na vinasaba vya ukweli. Inaweza kuwa ndiyo maana mkwere hajawapeleka ngurudoto kula bata?
 
Yaani tukizungumzia maendeleao ya barabara,tunamzungumzia magufuli yaani jamaa ni mchapa kazi sana,kila wizara unayopelekwa unang'ara,nyota yako haifichiki,baba ningekuwa ninateua nani agombee urais mwaka 2015 ningekuteua na kura ushindi wa chama cha ccm ungekuwa asilimia 90

ushabiki wa kijinga
 
pombe ni bonge la waziri.

Mandela road panachimbika.

Inapigwa lami kama ile ya nyerere road wanakopita mafisadi na misafara.

Sambamba na hilo, nguzo za taa mpya za barabarani (kama zile za sam nujoma zinasimikwa).

Kubwa zaidi junction ya tabata na mandela road inapigwa taa za kuongozea magari.

Pombe anatisha.

Hii si credit kwa ccm. (ccm majungu tu. Bila mkapa pombe na dr. Mwakyembe wasingepewa wizara moja. Au mwakyembe asingekuwa nw.)

ni credit kwa pombe mwenyewe, na credit kwa mzee wa 'kokoto'. Aliyemteua pombe kuwa waziri wa ujenzi.

Mkwere alikuwa na baraza lake la kupongezana, mzee wa kokoto akalipangua.

pombe ,pombe pombe anajitahidi pombe
 
yaani tukizungumzia maendeleao ya barabara,tunamzungumzia magufuli yaani jamaa ni mchapa kazi sana,kila wizara unayopelekwa unang'ara,nyota yako haifichiki,baba ningekuwa ninateua nani agombee urais mwaka 2015 ningekuteua na kura ushindi wa chama cha ccm ungekuwa asilimia 90
kweli tunahitaji katiba mpya, haya mambo yakumtegemea mtu mmoja kwa maendeleo ya nchi! Na tukipata taahila tunaongozwa kitaahila taahila tuuu!
 
QUOTE=Chimunguru;TUNATAKA FLY OVERS

Flyovers za nini mkubwa? Izo si suluhisho la jams hapo Dar. Mpango mbovu wa jiji na ofisi za serikali kuendelea kung'ang'ania na kujengwa Dar ndio vyanzo vya jams. Wewe angalia asubuhi population yote ya Dar inaelekea Posta na Kariakoo. Jioni wote wanatoka Posta na Kariakoo. Sasa kwa namna iyo jams become inevitable. Pia ofisi za serikali zina magari mengi mno yanayokua chanzo cha jams. Suluhisho la kudumu ni kuhamishia ofisi za serikali Dodoma na kuanzisha ujenzi wa miji mipya yenye sehemu za biashara na ofisi nje ya Posta na Kariakoo. Pia ipigwe marufuku kujenga tena Posta na Kariakoo. Asante.
 
Hata sasa hivi kamrudisha ujenzi kwa kulazimishwa na washauri wake...Vinginevyo angeendelea na washikaji zake akina Ngeleja.

Hilo jina nikisikiaga huwa nahisi kutapika hii migao ya umeme wanayo lazimisha ili walete majenereta ya dili tumewachoka
 
nimekupata mkuuu!

jamaa alipanda jukwaani siku ya kufunga kampeni za ccm akiwa amebipu valuu.

akasema ''mimi nasema hawa wote kokoto tu" (akimaanisha Lipumba siyo Mlima Kilimanjaro, wala Slaa siyo kichuguu).

Lakini ukweli utabaki palepale: CCM walichakachua ushindi wa Dr. Slaa
 
QUOTE=Chimunguru;TUNATAKA FLY OVERS

Flyovers za nini mkubwa? Izo si suluhisho la jams hapo Dar. Mpango mbovu wa jiji na ofisi za serikali kuendelea kung'ang'ania na kujengwa Dar ndio vyanzo vya jams. Wewe angalia asubuhi population yote ya Dar inaelekea Posta na Kariakoo. Jioni wote wanatoka Posta na Kariakoo. Sasa kwa namna iyo jams become inevitable. Pia ofisi za serikali zina magari mengi mno yanayokua chanzo cha jams. Suluhisho la kudumu ni kuhamishia ofisi za serikali Dodoma na kuanzisha ujenzi wa miji mipya yenye sehemu za biashara na ofisi nje ya Posta na Kariakoo. Pia ipigwe marufuku kujenga tena Posta na Kariakoo. Asante.

Au ofisi zibaki Dar, lakini wizara zijengwe Kinyerezi, Mbagala, Mwenge, Gongolamboto, n.k ili badala ya watu kuelekea upande mmoja wakati wa rush hour, wawe wanatawanyika. kwa mtindo huo foleni itadhibitiwa.

Na masoko vivyo hivyo.

lakini hii ya sasa wizara zote ziko Mtaa wa Shaaban Robert ni kichefuchefu.
 
Back
Top Bottom