Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

LONDON (AP) — A British judge on Tuesday sentenced defense contractor BAE Systems PLC to pay a fine of 500,000 pounds ($775,000) for failing to keep proper accounts of payments made to an...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Diwani wa Kata ya Bumera kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tengera Marwa jana alitolewa gerezani kwa muda na kwenda kuapishwa wakati wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah, anadaiwa kufichua siri za Rais Jakaya Kikwete kwamba kiongozi huyo wa nchi asingependa vigogo serikalini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hiki chama ni kizee mno wala hakiwezi kuleta maendeleo sababu ya fikra mgando za viongozi wake kinahitaji mbadala.
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Wandugu, Mwenye ufahamu naomba atujuze wadau wa JF, Je mabadiliko ya katiba yakifanyika mapema ndani ya miaka hii mitano ambayo bado JK atakuwa mtawala unadhani kutakuwa na madhara gani ( I mean...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna yeyote ambaye anaweza kutupatia listi ya matawi ya CHADEMA pamoja na idadi ya wanachama wake. Ninaamini katika kufahamu hili inaweza kusaidia kuongeza kasi ya kufungua matawi na watu kujiunga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wachungaji hawa mimi nawatabiria Watakufa na Makanisa yao, Kwasababu hazina Kichwa wala miguu, na sijui makao makuu ya Makanisa hayo, na Kama hayapo kibiashara, sasa wanafanya nini hapa Tanzania...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), amedai kipigo alichokipata kutoka kwa Jeshi la Polisi mkoani hapa, wakiongozwa na Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Arusha (OCD), Zuberi Mombeji, ni...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
WikiLeaks cables: Tanzania official investigating BAE 'fears for his life' Prosecutor Edward Hoseah voiced safety fears over inquiry into 'dirty deal' involving sale of radar system to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna habari nilizozisikia kwenye vyombo vya habari Kuhusiana na mtoto wa mkulima kukataa gari ambalo tayari amenunuliwa! Sitaki kuamini kuwa tokea mchakato wa manunuzi ambao kwa serikalini...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanaJF, Naomba niwasilishe hoja ifuatayo: Ingekuwa vizuri angalau tukaanza kualikwa watu muhimu katika kujadili ishue hii ya katiba mpya na tukaweza kujadiliana naye kupitia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zamani tuliaminishwa kuwa sheria ni msumeno kwa maana kuwa hukata mbele na nyuma na kwamba hauchagui pa kukata. Lakini taraaatibu ukweli nimeanza kuujua kuwa sheria siyo msumeno. Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna taarifa kuwa basi la Dar Express linawaka moto hivi sasa huko Kitumbi na kuna Lori laamguka na kufunga barabara. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huko nyuma nguvu za ccm zilitokana na chama hicho kwa dhati kabisa, kuwa mtetezi wa wanyonge kwa kauli na vitendo. Msimamo huo ulibadirika ghafla wakati wa uenyekiti wa rais wa hawamu ya tatu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mbona SISIEM inatupeleka pabaya! Kweli tuna sheria za kipuuzi za namna hii zinazoweza kuruhusu mbunge wa viti maalum mkoa wa Tanga aitwye Mary Chitanda kushiriki uchaguzi wa umeya Arusha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi tumeendelea kushuhudia uhaini wa demokrasia ukifanyika ndani ya nchi yetu wakati wa uchaguzi wa meya wa manispaa ya Arusha. Nauita uhaini kwa sababu kitendo kilichofanywa na madiwani wa CCM...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Siku ya leo maeneo mengi ya jiji wamekata umeme jana wametangaza bei mpya kuongezeka kuanzia january au wanatafuta fedha za fidia ya dowans!!!!!!!! Hatuwezi pata mpinzania wa tanesco kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wana JF., Imekuwa ikisisitizwa mara nyingi hasa na viongozi wetu kwamba kiswahili ndio lugha ya taifa tuienzi. Na sababu kubwa ya kuiweka kuwa lugha ya kufundishia ni kwa sababu ni lugha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi, ningependa mwenye kufahamu anijuze hapa Mary Chitanda ni nani katika siasa za Arusha, CCM na Tanzania kwa ujumla.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi Hii mahakama ya kadhi ikirudi itabidi tuwaombe wazee wetu wapiganie kurudiswa kwa mahakama za kimila/Kijadi amabzo kwa kweli zilikuwa ni msaada mkubwa sana . Kule vijijini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom